Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.

====

"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
Screenshot_20220508-153326.jpg
 
Jiwe aliharibu hii nchi sana , mpaka walishindwa wakawa washindi
Haha! Kuweni makini nyinyi kampeni zilishaanza mtasikia mengi mengine siyo yakweli swala ni kubeba saikolojia ya watu tu!.. unakumbuka nyerere alisema nini kuhusu mtu ambae ameshawahi kula nyama ya mtu..?
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! 🙏🙏🙏
 
Watu mnaridhika mapema sana, kuna haja gani kutangaza mshindi wa halali kwenye viti vya ubunge na udiwani lakini wasimtangaze mshindi wa halali kwenye kiti cha Urais?

Kumbe wengi wenu mmeshakata tamaa mnaridhika na vidogo bora maisha yaende, kwangu kama mshindi wa nafsi ya Urais atachakachuliwa Masaki au pengine popote bado huo uchaguzi hautakuwa huru na haki.
 
Ushindi mezani kwa CCM haujaanza wakati wa Magufuli....
Kama mna nia njema wekeni tume huru....wakurugenzi wakiendelea kuwa wasimamizi wakuu watakisaidia chama tawala hata kwa kuiba kura tuuu....
Yeye alizidisha mno!!! Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 kuondoa wagombea wote wa kutoka upinzani. Uchaguzi wa 2020 ndiyo balaa!! Eti Lissu asifike hata kura million 2 halafu wabunge eti CHADEMA mbunge 1!!! Pemba tangu lini mbunge wa CCM apewe kura!!! Ule haukuwa Uchaguzi bali Uchafuzi
 
Ushindi mezani kwa CCM haujaanza wakati wa Magufuli....
Kama mna nia njema wekeni tume huru....wakurugenzi wakiendelea kuwa wasimamizi wakuu watakisaidia chama tawala hata kwa kuiba kura tuuu....
2010 Jakaya alipigwa na dr Slaa,Mkamia anasemaje?
 
Back
Top Bottom