Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

kama ni hivyo tume iliyopo inafaa.
tukutane 2025 kwa pilato.
 
Kwani huu mchezo wa kutangaza walioshindwa kuwa washindi umeanza awamu ya tano?Nkamia aache unafiki,ata yeye 2015 hakuwa na influence yoyote katika siasa bali alikuwa mwandishi habari hivyo na yeye kapitia mfumo huohuo wa uporaji!!
 
Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.

Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.

Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! [emoji120][emoji120][emoji120]
Hujui kitu gani ?
 
Kila anayesema Sasa Hivi Namuona mnafiki tu!! Sisi Tumesema kipindi Meko ni Meko siyo mnaacha Decay imeanza Chato ndo mnajifanya kusema si ujinga huu?

Mlikuwa wapi kipindi tunatishwa na kunyang’anywa passport!

Kwa kifupi tunemtesa jamaa kipindi yuko hai

We were well informed (McOmorro twitter) mnanikumbuka??
 
njaa mbaya sana aisee..

tuwalee watoto kwenye misingi yakuamini kwenye kufanya kazi kwa bidii na kwenye taalum zitakazowafanya wauzike kila kona ya dunia..

Shida ya watanzania wengi ni kupenda burebure na maisha rahisi yakupewapewa, siku ukiachwa ujitafutie aka uogelee kwenye maji peke yako..ndio kilio kama hivi..
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwamba hujui kikichotokea 2020? Mbona mnapenda kujitoa ufahamu watu wazima? Kipi cha Uongo hapo hadi kizue taharuki?
 
Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.

Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.

Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.
Kipi kipya cha kuzua taharuki?
 
Mwaka sisiem ilishinda kihalali ngazi ya Uraisi Tanzania Bara ni 2005 basiiiii
 
Ushauri kwa mwenyekiti wa CCM throw away old dogs kugombea CCM ubunge weka damu mpya vinginevyo utaishia kupata wanafiki tu

Chama kina utajiri wa wengi tu ambao hawajawahi kanyaga bungeni ambao wako fit wangekusaidia

Tafuta damu mpya
 
Back
Top Bottom