Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! 🙏🙏🙏
Kwani amesema uongo?
 
Hata saa mbovu kuna wakati husema ukweli
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mdau mwenzangu wa Sinba bado ana hasira na yule ambaye yeye mwenyewe alishauri muhula wake uongezwe uwe miaka saba. Kweli maajabu hayatawahi kuishi Tz.
 
Wakati ananufaika yeye alitaka hayo yaendelee milele.

Sasa kumbe baada ya kukosa humtaki tena.

Ungenyamaza tu maana wakati wewe upo kwenye neema uliwatakia wanaoumia wapate maumivu ya milele.
 
Huyu kenge alisemaga magufuli atawale milele
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! 🙏🙏🙏
Mwacho atoe maoni yake si lazima yafanane na yako yeye anajua anachokisema. Bila ukweli kusemwa wazi na jadharani hatutasonga mbele kama Taifa. Wewe kweli unaamini Chadema lipata jimbo moja tu? Kwa nini chama tawala kilikata rufaa wakati wakurugenzi waliondolewa na mahakama kuu kusimamia uchaguzi? Kiliogopa nini! Kwa nini ha taki tume huru ya uchaguzi?
Upenzi wako kwa chama usikufanye uite rangi nyeusi nyeupe na nyeupe, uiite nyeusi. HAKI HUINUA TAIFA.
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! 🙏🙏🙏
Mwache atoe maoni yake si lazima yafanane na yako yeye anajua anachokisema. Bila ukweli kusemwa wazi na hadharani hatutasonga mbele kama Taifa. Wewe kweli unaamini Chadema ilipata jimbo moja tu? Kwa nini chama tawala kilikata rufaa wakati wakurugenzi walipoondolewa na mahakama kuu kusimamia uchaguzi? Kiliogopa nini! Kwa nini haki taki tume huru ya uchaguzi?
Upenzi wako kwa chama usikufanye uite rangi nyeusi nyeupe na nyeupe, uiite nyeusi. HAKI HUINUA TAIFA.
 
Shehe juma aliyetaka 2025 kusiwe na uchaguzi saizi anaota kutakuwa na uchaguzi wa haki bila misingi. Pro Lumumba amesema AAfrika haihitaji Democracy ya 1. MULTIPARTISM 2. PERIODIC ELECTION 3.
 
Hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara hawa.
 
Back
Top Bottom