Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ila Magufuli kuna mambo aliharibu Sana hasa ishu za kujipatia ushindi wa mezani
waendelee kula peke yao kama 2020.Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Haha! Kuweni makini nyinyi kampeni zilishaanza mtasikia mengi mengine siyo yakweli swala ni kubeba saikolojia ya watu tu!.. unakumbuka nyerere alisema nini kuhusu mtu ambae ameshawahi kula nyama ya mtu..?Jiwe aliharibu hii nchi sana , mpaka walishindwa wakawa washindi
2025 machadema mtashinda kwa kishindoIla Magufuli kuna mambo aliharibu Sana hasa ishu za kujipatia ushindi wa mezani
2025 machadema mtashinda kwa kishindo
Kumbe ni dhahiri huwa wanatangazwa walioshindwa??Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Yeye alizidisha mno!!! Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 kuondoa wagombea wote wa kutoka upinzani. Uchaguzi wa 2020 ndiyo balaa!! Eti Lissu asifike hata kura million 2 halafu wabunge eti CHADEMA mbunge 1!!! Pemba tangu lini mbunge wa CCM apewe kura!!! Ule haukuwa Uchaguzi bali UchafuziUshindi mezani kwa CCM haujaanza wakati wa Magufuli....
Kama mna nia njema wekeni tume huru....wakurugenzi wakiendelea kuwa wasimamizi wakuu watakisaidia chama tawala hata kwa kuiba kura tuuu....
2010 Jakaya alipigwa na dr Slaa,Mkamia anasemaje?Ushindi mezani kwa CCM haujaanza wakati wa Magufuli....
Kama mna nia njema wekeni tume huru....wakurugenzi wakiendelea kuwa wasimamizi wakuu watakisaidia chama tawala hata kwa kuiba kura tuuu....