Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Anasema miaka haitoshi, akaulizwa mbona kuna maraisi (nchi nyingine) na wabunge waliokaa madarakani zaidi ya miaka 30 ina maana kwao kuko shwari kila kitu, alichojibu aibu
Hana akili kivhwani za kumtosha kutetea hoja yake.
 
Mkuu Nkamia keshachanganyikiwa baada ya kupata ubunge bila kuwatumikia waliompa dhamana aliamua kununua madaladala kwa fedha alizokopa benki na sasa baada ya kupata hasara na madeni kaona atumike na magufuri kwenye dili feki! amwambie tu magufuri 2020 uchaguzi upo pale2
 
Hiyo hoja ya kuongeza muda wa kuongoza Nchi siyo wa Juma Nkamia bali ni wa JPM na CCM kwa ujumla! Ninasikitishwa na tabia ya Rais Magufuli anavyotufanya wananchi km mazuzu na kutaka kutuongoza km Misukule, ana bonge la dharau la kufa Mtu. Lkn ni vema ajue, ssi siyo wajinga wakushindwa kung'amua hira na mbinu zao hizo!
 
"Ndugu zangu watanzania kuna kelele nyingi sana za kutaka urais uwe was vipindi 2 vya miaka 7, 7 badala ya miaka 5, 5.

Ndugu Musiba na ndugu Nkamia wamepiga wameniomba sana. Hatimaye nimeamua kuwakubalia".

Hivi ndivyo Mtukufu atakavyosema baadaye. Kwahiyo hawa wanaopiga kelele za kubadili katiba siyo kwamba hawajui walifanyalo..wametumwa.
 
JN wa Abood TV....J N wa Simba S C...JN waziri w habari. Same story goes on and on
 
Niliwahi kumsikia Bashite muda fulani lakini baada ya huyu zero brain kuteleza kwenye kauli nikagundua ni maelekezo ya magufuri! Magu hataki kuondoka madarakani anafanya hila ili atuletee matatizo
 

Kikubwa tu nilichokigundua ama kukibaini katika yale Mahojiano ni kwamba Yule Mwandishi ana uwezo mkubwa mno wa Kufikiri wa 99.9% huku Mbunge Juma Nkamia akiwa na uwezo mkubwa wa kutokujua Kufikiri wa 100%. In short tu ni kwamba leo Juma Nkamia ametufanya Watanzania wote tuonekane wa ' hovyo hovyo / mangumbaru / wajinga ' mbele ya wana Afrika Mashariki na Kati wengine waliokuwa wakisikiliza Kipindi kile cha Dira ya Dunia ya leo BBC.
 
Nkamia mpumbavu sana
 
Mimi nimempuuza ila naona analeta madhara makubwa tena wamejipanga vizuri huku wengine wakikataa harafu lipelekwe kwa Sound alipitishe bila kupingwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…