GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nkamia mpumbavu sana
Huyu kachanganyikiwa na madeni na sasa anatumwa na magufuri kama punda! ila atakiona tuHivi Mkuu ' Jamaa ' anayafanya haya yote kwa ' Utashi ' wake kweli au kuna yanayoendelea labda behind the scene na pengine Sisi wengine tunafanywa ' mangumbaru / wajinga ' tu?
Mkuu Leo kuna senator kasema USA haihitaji "illiterate and unskilled immigrants" so anamsapoti trump kutumia lile nenoKuna mwigine kaibuka tena. Anaitwa Musiba. Habari hii isifike kwa Trump maana atarusha tusi zito zaidi
Kikatiba kuwa na mawazo tofauti na msimamo wa raisi sio kosa eeh!?? Unajua ni nn maana ya vyuma kukaza? Kama hujui maana ya uchochezi tofautiana na mkuu!Wakamatwe kwa kosa gani? Wao wanataka muhula uwe miaka 7, raisi amesema hataki,lakini hakuna aliyevunja sheria hata kama mmoja anasema yeye na wananchi. Kati ya mawazo yao na kutendeka kwa hicho kitu kuna kutengeneza muswada, kuna maamuzi ya bunge na kama mawazo yao yatakubalika bungeni kuna raisi (akubali au akatae) na katiba ibadilishwe. Hivyo acheni lijadiliwe na watu wawe na uhuru wao kikatiba kuunga mkono au kukataa (pamoja na maandamano ikibidi). Chama chao kinaweza pia kuchukua hatua za kichama kikiona inafaa. Lakini kikatiba kuwa na mawazo tofauti na raisi si kosa.
Mkuu Leo kuna senator kasema USA haihitaji "illiterate and unskilled immigrants" so anamsapoti trump kutumia lile nenoKuna mwigine kaibuka tena. Anaitwa Musiba. Habari hii isifike kwa Trump maana atarusha tusi zito zaidi
Rais Magufuli is on record, tena mara mbili, kukataa maoni ya wajinga wachache kutaka muda wa urais uongezwe.Mbona hatuwaoni wachumia tumbo wa Lumumba?
Kinachouma ni kuwa Jpm hataki hata kujadili katiba ya wananchi!! Lakini wako radhi kubadili vipengere ili watawale maisha!!! WaTz na sisi ni tatizo hatuwezi ku react [emoji40] [emoji85]Hiyo hoja ya kuongeza muda wa kuongoza Nchi siyo wa Juma Nkamia bali ni wa JPM na CCM kwa ujumla! Ninasikitishwa na tabia ya Rais Magufuli anavyotufanya wananchi km mazuzu na kutaka kutuongoza km Misukule, ana bonge la dharau la kufa Mtu. Lkn ni vema ajue, ssi siyo wajinga wakushindwa kung'amua hira na mbinu zao hizo!
Sio kwamba ana IQ ndogo, anaelewa kabisa madhara ya hicho anachojaribu kukifanya, lakini yupo kazini !Jamani nijulisheni ,huyu Nkamia mbona ana IQ ndogo hivi?
Na anawawakilisha jimbo gani?
Nimesikiliza BBC leo jioni na kumsikiliza huyu mheshimiwa sana Juma Nkamia.
Mada yake isiyo na mbele wala nyuma ni kuongeza muda wa urais toka miaka mitano hadi saba.
Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri!
Rais Magufuli is on record, tena mara mbili, kukataa maoni ya wajinga wachache kutaka muda wa urais uongezwe.
Ningemwona Nkamia ana chembe za akili kama angedai katiba mpya.
Mkuu kwa upumbavu huu tunaweza ku react na hata dunia itatuunga mkono wachache hawawezi kutufanya sie makondooKinachouma ni kuwa Jpm hataki hata kujadili katiba ya wananchi!! Lakini wako radhi kubadili vipengere ili watawale maisha!!! WaTz na sisi ni tatizo hatuwezi ku react [emoji40] [emoji85]
Kiukweli, ni watu kama Nkamia wanaopaswa kuitwa na kumpa sababu Trump kusema Afrika ni shitholeMkuu kwa upumbavu huu tunaweza ku react na hata dunia itatuunga mkono wachache hawawezi kutufanya sie makondoo
Juma Nkamia ndio kipimo cha wabunge wengi wa ccm walivyo na ufahamu usioendana na wakati uliopo.
Huwezi kuwa na webunge wengi jamii ya Nkamia halafu Bunge likaleta athari chanya kwa umma.
Lile Bunge liko na wabunge karibia 400 lakini wale wanaojua wajua wajibu wao uliowapeleka pale hawafiki hata mia 50.
Bunge limegeuzwa kama taasisi ndani ya serikali kutokana na kuwa na wabunge maslahi kama jamii ya akina Nkamia na kushindwa kuwatumikia wananchi ambao Bungeni ndio sauti yao ilipo kikatiba.
Wakati mwingine ukitazama kwa jicho la tatu unakuja kukundua kuwa tatizo ni kubwa huku chini kuliko tunavyodhani sababu hawa akina Nkamia hawajajipeka wenyewe, bali wamepelekwa na hawa hawa wananchi wanaowatumikia.
Kuna tatizo kubwa sana la ufahamu wa elimu ya uraia hapa nchini.
Kuwa na jamii kubwa iliyojaa ukosefu wa elimu ya uraia ni furaha ya ccm, kutokujitambua kwa jamii kubwa ni mtaji mkubwa sana kwa sababu na hili huwa ndio nguzo yao kuu inayowaweka hai madarakani hadi sasa.
Siku jamii pana itajitambua basi ccm itakuwa kwa heri Tanzania, na itabaki kwenye jumba la makumbusho.