900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
wa itoloNkamia ni Mrangi kumbe 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa itoloNkamia ni Mrangi kumbe 😀
Bob Makani alijenga office za Chadema 🐼Hata wakoloni walijenga reli na mabaramabara,
Angekuwa anapenda kitundu huzuni je angempatia ili wanae waende shule? Mambo mengine yanahitaji akili sana.Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema 😃
Na huo ndio uhalisia wa viongozi wa wakati ule. Jamaa alikuwa anapewa sifa ambazo hana ili tu maisha yasonge. Tulilisema sana humu ila kwa vile propaganda ilikuwa ishaenea sana miongoni mwa wapumbavu wengi ikawa ni ngumu sana kukuelewa. Wanaanza kutoka kuusema ukweli sasa. Glory to God, na bado