Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tabia za kimalaya malaya. Kwa sauti ya JK The real JK.

RIP Baba wa Taifa.
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Angekuwa anapenda kitundu huzuni je angempatia ili wanae waende shule? Mambo mengine yanahitaji akili sana.
 
Na huo ndio uhalisia wa viongozi wa wakati ule. Jamaa alikuwa anapewa sifa ambazo hana ili tu maisha yasonge. Tulilisema sana humu ila kwa vile propaganda ilikuwa ishaenea sana miongoni mwa wapumbavu wengi ikawa ni ngumu sana kukuelewa. Wanaanza kutoka kuusema ukweli sasa. Glory to God, na bado

Na "...uhalisia wa viongozi wa wakati...", huu unauona umebadilika?
 
Back
Top Bottom