Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Status
Not open for further replies.
Hakika si tabia njema michezoni na mahali pengine popote kwani ni kitendo kidhalilishacho uanaume wa mtu...

Lakini kuna jambo moja huwa lanitatiza, hao wanaume wanaodhalilishwa mbona huwa wapo kimya tu hata hatujawahi kuona wakianzisha hata zogo?

Hivi kweli mwanaume rijali uguswe kalio halafu upotezee tu hivi hivi....mmmh!!!

Inawezena jamaa huwa hawagusi kwa mguso wa kutosha kufahamu kitu gani kimetokea, i.e huwa anaegesha mkono kwenye kaptula bila kuugusa mwili ndio maana Bocco haonekani kushtuka.
 
Nyoso wa simba tofaut kabsa na nyoso wa mbeya city

Ni yule yule tu sema alipokuwa Simba alikuwa hajaonekana. Siamini kwamba tabia hii mbaya ameianza akiwa Mbeya City FC. Huyu jamaa inawezekana ni shoga kama si hivyo ni basha aliyebobea. Shame on Nyoso na vilabu vyote alivyochezea.
 
Hana nidhamu ya mpira atabaki kuganga njaa hivyo hivyo na ushenzi wake
 
Hatuhitaji mchezaji wa hovyo kwenye ligi, huyo afungiwe maisha maana anavunja maadili ya soka.
 
Hafai huyu nyoso,anatia nyongo kwenye unaopendwa kuliko michezo yote. Afungiwe maisha. Asilete ushoga kwenye soka
 
huyu bata mzinga ana akili za kitoto mpaka unashangaa,timu imwondoe kwa utovu wa nidhamu maana atakuwa anawagharimu sana.
 
Watu kama hawa wakufungia maisha tu ajue samani ya ushenzi wake
 
Kinachonishangaza ni jinsi Bocco alivyotulia, ningekuwa mm pangechimbika.
 
Juma Nyosso kaharibika sana, sio yule wa Simba! Tatizo kaenda mji wa Mbeya wenye wahuni wengi na wakazi wake wengi hawajitambui. Tatizo ni Mbeya! Imebidi abadilike kutokana na mazingira.
 
Nimewahi fahamishwa kuwa JUMA NYOSSO NI SHOGA, akiwaga na dume lake ndo huwa wanafanyiana hivyo. Hatutaki ushoga wako uulete kwa wanamichezo, peleka kwake shoga mwenzio chumbani kwenu!
AFUNGIWE MAISHA.
 
Juma Nyosso kaharibika sana, sio yule wa Simba! Tatizo kaenda mji wa Mbeya wenye wahuni wengi na wakazi wake wengi hawajitambui. Tatizo ni Mbeya! Imebidi abadilike kutokana na mazingira.

Mkuu barafuyamoto naona umechukizwa sana na vitendo vya Juma Nyoso lakini nadhani hujawatendea haki watani zangu wana-Mbeya kwa ku-generalize kiasi kile. Mbeya ni mji wenye wachezaji wengi zaidi ya 60 wanaocheza ligi kuu katika timu za Prisons na Mbeya City, kwa nini tabia hizo hazionekani kwa wachezaji wengine isipokuwa mhamiaji Juma Nyoso? Mie nasema tatizo siyo Mbeya bali tatizo ni Juma Nyoso mwenyewe aliyezoea kupumuliwa mgongoni. Vitendo vile ni kujaribu kupata wapumuliaji mithili ya ng'ombe jike anavyopanda madume wakati akiwa on heat (waliosoma animal husbandry watakuwa wamenielewa).
 
Last edited by a moderator:
Tabia Za Kihuni Kama Hizi Hatuzitaki Katika Michezo.Tff Itoe Adhabu Kali Sana Ya Kumfungia Kucheza Mpira Maisha.Aende Akaendeleze Huo Uhuni Wake Huko Mchangani.Kuvuta Mibange Icwe Sababu Ya Kuendekeza Tabia Za Kishenzi Na Kihuni.Pumbavu Sana Huyu Mtoto!
 
TFF kupitia kwa Jamal kasema hatua zitachukuliwa haraka kwa hilo punga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom