Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika si tabia njema michezoni na mahali pengine popote kwani ni kitendo kidhalilishacho uanaume wa mtu...
Lakini kuna jambo moja huwa lanitatiza, hao wanaume wanaodhalilishwa mbona huwa wapo kimya tu hata hatujawahi kuona wakianzisha hata zogo?
Hivi kweli mwanaume rijali uguswe kalio halafu upotezee tu hivi hivi....mmmh!!!
Nyoso wa simba tofaut kabsa na nyoso wa mbeya city
Huyu ni mwehu afungiwe kucheza mpira kabisa!pumbavu kabisa
Juma Nyosso kaharibika sana, sio yule wa Simba! Tatizo kaenda mji wa Mbeya wenye wahuni wengi na wakazi wake wengi hawajitambui. Tatizo ni Mbeya! Imebidi abadilike kutokana na mazingira.