umekurupuka na mihemko kutokea wap gentleman ?Mada hapa ni kuzini kwa Gwajima au kufungiwa kwa kanisa lake?
Simtetei, ila tunapokosa hoja, huwa tunarukia viroja
umekurupuka na mihemko kutokea wap gentleman ?
si ujikite kwenye hoja kuliko kubabaika na mengine 🐒
Piga spana huyoo😅😅Mada hapa ni kuzini kwa Gwajima au kufungiwa kwa kanisa lake?
Simtetei, ila tunapokosa hoja, huwa tunarukia viroja
Mkuu we ni ke samahani lakiniUpolisi laana sana
Ni kweli Mkuu ,kufungia huduma ya kanisa wameenda mbali sana ..Nashauri kanisa lisifungwe ila wapelekewe askofu mwengine mwenye adabu zake ili huduma za kiroho ziendelee
Katoliki, Lutheran, au Anglican ni tofauti sana na Gwajima, Mwingira au Kakobe na kiboko ya wachawi..... Huyu maza akitaka kuteseka aguse katoliki tena kama walivyotaka kumuua Kitima...... Akitaka shida aendelee kusumbua taasisi za dini.Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.
Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Mungu akuepushe na pepo la mauti.Mfa maji hatching kutapatapa....mara Lissu. Mara Chadema. Mara Father Kitima.
Sasa ni Gwajima Boy. Najiuliza nani anafuata na kwa nia zipi?
Kusema haya ni kwa nia njema. Kuna tatizo kubwa na matumizi ya nguvu na ubabe sio jawabu
NDiyo maana kesi nyingi serikali Huwa inashindwa na kulipa mabilioni .ukiamua ukiwa na hasira lazima ukosee .Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Wasafi FM
Soma, Pia
Akapitishwaje kwenye mifumo ya Ccm na akawa Mbunge Kwa miaka mitano ya utawala wa Ccm? Sometimes mnanuka kinyesijitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
Mungu akuepushe na pepo la mauti.
ulowataja si wazinifu tu wanaokimbiliaga kujificha madhabahuni, nani asie jua uzinzi wa hao wangwana?🐒
Sawa gwajima ni mzinzi na muongo kwa uelewa wako. Je ni sahihi kufungia kanisa zima lenye wahumini zaidi ya milioni kwa kosa la gwajiboy?jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
Gentleman,Sawa gwajima ni mzinzi na muongo kwa uelewa wako. Je ni sahihi kufungia kanisa zima lenye wahumini zaidi ya milioni kwa kosa la gwajiboy?
Siyo hivyo, wanajua wameboronga wanatafuta pa kutokea. Akikata rufaa wanamwacha mara moja watasema kakata rufaaaa. Asikate rufaa hadi mpambano utamatike.Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.
Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Naona jinsi unavyokomaa kutetea hoja ya utekaji na uuaji, nadhani wewe ni mmoja wao. Sawa futa tuu hilo kanisa ni wakati wenu huu.Gentleman,
taasisi zote zilizosajiliwa kwa madhumuni mahususi, halafu kinyemela zikabadili malengo yake.
Ni Lazima ziwajibishwe kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kufutiwa usajili 🐒
Wangemuuliza waliomshambulia fr. Kitime wako wapi? Kama kweli anajua kusimamia sheriaJumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Wasafi FM
Soma, Pia
Kwani nsi tunaona misikitini waislam wanafanya kampeni za kumpigia samia kampeni misikitini mbona wao hawajaambiwa wanafanya siasa kanisaniUngekuwa Msikiti usingefungiwa