kulinda usalama au kupeleka kitisho na kuanzisha vurugu? Hebu fikiria kama hao waumini washikwe na jazba nini kitatokea pale kama si mauaji ya halaiki? Muwe mnafikiria kwanza na sio kukurupuka kumfurahisha mkuluKwa ajili ya kulinda usalama.
Sheria za Tanzania hopeless kweli kweli, Police na msajili wa NGOs wako chini ya waziri huyo huyo. Sasa unakata rufaa kwa yule yule aliye waruhusu police and msajili kukufungia. Ingekuwa independent body ingekuwa poa.Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Wasafi FM
Soma, Pia
Hatimae mmefikiwa 😂😂😂Gamboshi hivi hakuna mwamba anaeweza kufutilia mbali huyu Samia ,wao walimuondoa Magufuli na sisi tumwondoe Samia.Walahi nimejikuta nina Putin mentality.
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Wasafi FM
Soma, Pia
Ngoja nimtetee kidogo, "kazi yake ni kusimamia sheria " ila asimamie kwa kutenda haki.
Mnaweka zana potofu kesho vijana wataikataa kazi mwisho wasiku mtakuwa na jeshi la polisi dhaifuUpolisi laana sana
Mbona muoga anaongea kwa uwoga?
si ni bora mzinzi mkemea mauaji,kuliko mtakatifu shabiki wa mauaji?!umekurupuka na mihemko kutokea wap gentleman ?
si ujikite kwenye hoja kuliko kubabaika na mengine 🐒
waandishi wa habari wasiojua kuuliza maswali ndio hawa!!!!Hawa ni comedians disguised kama waandishi😂😂😂😂Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Wasafi FM
Soma, Pia
unadhani drama, uropokaji na uopotoshaji utayumbisha waTanzania wasipate maendeleo gentleman ?🐒si ni bora mzinzi mkemea mauaji,kuliko mtakatifu shabiki wa mauaji?!
Wajifunze kushughulika na mtu na siyo Taasisi.Sidhani kama inalenga hivyo....
Kukata Lufaa kwa Mashungwa?
Asipokata wataraji nini kwani!!Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.
Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Hata kwenye misikiti hawawezi 🤭🤭katoliki? Unajua nguvu za katoliki lakini? Pale hawatathubutu kupeleka vikosi vya kijeshi.
Dah!,noma sana aisee unamfanyia binadamu mwenzako unyama kisa madaraka ya kupita.Kwa hyo video post namba 5 basi hata kina Roma...Sativa na wengineo waliharibiwa maumbile yao ya nyuma maskini...huu ni unyama gani jamani...
Kitu ambacho polis wa tanzania hawajui kuwa wakenya wako wazi kujieleza...walijua hzo video zitamblack mail huyo kaka so wakadhani atanyamaza au walimtishia anyamaze kwa kunwambia tutaturusha video zako za kuingizia vitu nyuma ila ndo waone kasema vyoteee...
Roma mpk leo hajasema waliomteka ni kina bashite...anaogopa labda hizo video
Kanisa litafungwa. Watasalia maumbani kwao na hilo jengo la kanisa lifanywe msikiti ili wafurahiAsipokata wataraji nini kwani!!