Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Maisha kuna muda ni mazuri nyie,acheni tu.
Siyo lazima uendeshe gari kubwa ,uwe na pesa nyingi hapana.
Namaanisha uwe na Amani ya moyo pamoja na pumziko la nafsi.
Leo tangu asubuhi baada ya kumaliza kazi zangu ndogo ndogo,nipo tu chumbani nasikiliza nyimbo tatu tu.
Nazipenda Sana hizi nyimbo za praise & worship.zipo nyingi ila hizi tatu Kwa Leo zimenikosha Sana❤️❤️❤️
1.Blanca_the healing
2.Tasha cobbs _spirit
3.Sarah reeves_motion.
Bonus ni yaani my favourite,
Sinach_Jesus way maker
Karibuni,matusi sitaki tusiharibiane siku, ukija vizuri nakujibu vizuri,ukija kishari nakupokea kama ulivyokuja.