Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #21
Unawaza umalaya tu,poleMpa
Mpak jioni atakuwa amegombanisha midume midume mitatu
Unawaza umalaya tu,poleMpa
Mpak jioni atakuwa amegombanisha midume midume mitatu
Ahsante 🙏Interesting..
😂😂😂View attachment 3420695
Ma mtu hizo nyimbo unaweza kunifowadia na mimi?
KivipiKula raha tu, tunapojiandaa na nusu milingoti
Ahsante SanaEnjoy mama,... Maisha ni hayahaya🎶🎶
Najua sasa,😇Kwann unajivuruga?!
SawaUkipata bundle tu tunajua
Kitu chochote kikiwa cha kitoto kipiteUtoto ni mwingi ukikua utaacha. Takataka.
Milele aminiIbrahim wake 2
Yakobo wake 4
Daudi wake 4
Suleman wake 700 + 300 michepuko
Rehoboam wake 18
Elkana wake 2
Lameck wake 2
Na wote walipata kibali machoni pa Bwana!
TUMSIFU YESU CRISTO DADA Marry Diana
ushawahi kukazwa?Kitu chochote kikiwa cha kitoto kipite
Wewe utamkaza naniushawahi kukazwa?
KaribuUkitaka kijana wa kazi kuja kufua kila jumapili nipe kazi shemeji anakua nyumban nakosa amani siku kama ya Leo nikipata kazi kidogo afadhal
Hahaha, talaka isikiage hasa wapambe wakikudisMlirudiana na Bwana ako au Bado upo single?