Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #41
Pole ukiona hivyo riziki yako bado kakanguTangu udis Kono bao ....Mafundi hatupati kazi.
Pole ukiona hivyo riziki yako bado kakanguTangu udis Kono bao ....Mafundi hatupati kazi.
Unaweza kurudisha matapishi kinywaniMlirudiana na Bwana ako au Bado upo single?
Wewe mwenyewe unakazwa, wanaume wenzio wako bize kusaka pesa wewe unabishana na Mimi ,vipi nikupe kijora na mtandio wake?😂Utoto ni mwingi ukikua ukawa unakazwa usiku hauwezi kuleta Takataka kama hizi mchana..
Pole ya nini tenaPole sana
Karibu napata kazi au? Sjakuelewa dadakeKaribu
Mpendwa mpasie mirinda nyeusiUngeagiza na vinywaji sasa koo litakauka kwa kuimba😉..au uvuvio umekushukia mwaya! Hongera..mie najinywea tu hapa mradi nivurugike😇
Kwa sisi watu wa psychology tunajua uko kutafuta nafuu baada ya kupitia changamoto, kuna uwezekano umeachwa aina ya nyimbo ulizochagua zinafunua hiloPole ya nini tena
Kazi utapata nitakuunganisha Kwa mabossKaribu napata kazi au? Sjakuelewa dadake
Sawa mwanasaikolojia, ahsante Kwa utambuziKwa sisi watu wa psychology tunajua uko kutafuta nafuu baada ya kupitia changamoto, kuna uwezekano umeachwa
Yatapita, muda ni tibaSawa mwanasaikolojia, ahsante Kwa utambuzi
upo mkoa gani unipe show.Nina maji ndiyo ila mamako kanizidi
Kwani mabwana zako hawakufikishi?upo mkoa gani unipe show.
Jilishe upepoYatapita, muda ni tiba
Sawa dadaakKazi utapata nitakuunganisha Kwa maboss
SawaSawa dadaak
Picha hiyo hapoWeka na picha yako ili watafuta wachumba wa kilokole wakuone na kutia nia ya kujipatia mke mwema.