Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Wakristo siku zote mnajisifia ni wasomi sasa wasomi gani mnapigwa kindezi hivi? Yaani mnashindwa kabisa kugundundua hoa jamaa ni wapiga dili kwa mgongo wa dini?
 
Mimi nina mpango wa kubadili dini yangu na kuwa Islamic maana hao hawana huo ujinga Kama kwetu huku ambapo Padre kabla ya kipewa daraja hilo anachangiwa michango ya kununua gali tusimshangae KAKOBE hata kwetu wapo.
 
Hiyo nyumba sio kitu wala nini! Hapo mie napafahamu ilikuwa nyumba ya mtunza wa bustani wa Kiduku lilo sasa baada ya kufanya vizuri kwenye utunzaji wa bustani boss wake Bwana Kiduku lilo akamjengea nyumba ya kifahari huko UK na hiyo akaigawa bure kwa kanisa la kakobe, kumbe inatumiwa na Askofu daah so sad nahisi Bwana mkubwa Kiduku lilo akigundua hili jambo itamuumiza sana kuona Askofu mkubwa namna hii anaishi kwenye kibanda chake alichokitoa kama sadaka tu, nnavyomjua atafanya kitu juu ya hii kashfa.
 
Nilikujibu kuwa umewekewa na picha bado kwako haijakutoshea.. so ewe tomaso uende ukaione mwenyewe.
 
Hapana Mkuu, sema zamani nilipokuwa Dar kuna demu ndie alinifanya niwe naenda nae huko ili kumridhisha lakini ilikuwa sana kutaka kujiweka karibu na huyo demu!! Si unajua tena ujana!!
Uliishia wapi? Ukamla ukatembea au alikukazia mazima? [emoji28]
 
Hakika
 
Hiyo nyumba ni ya kifahali sana...ukijaribu kupita usiku utaona hadi madhari ya kifahali ya ndani. Ipo pale mbezi chini raibow junction ya kupandisha kuja tangi bovu kulia...imesimama hatari
We unapajua vizuri...hilo bangaloo ni nomaz[emoji119][emoji119]
 
Wanaosubiri pepo watasubiri sana. Pepo ipo hapa hapa duniani na Askofu Kakobe ametuonesha kwa vitendo.

Sasa wewe muumini wa Kakobe endelea kusema utatoboa ukifika mbinguni wakati kiongozi wako katobolea hapa hapa tena Kawe
[emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Halafu wasiojua Ni kuwa waumini Tena bila kulazimisha walijichanga wakatoa wazo nchi nzima ndo wakamjengea hiyo nyumba. Hata Mimi japo Siyo muumini Kwake nilinyoosha Mkono kidogo.. kulingana na ninavyomfahamu na mafundisho yake
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Unatumia nguvu kubwa sana[emoji16]

Hebu relax
 
Tatizo watu huwa hawamsikilizi na story wanazoziongea inawezekana wamezisikia tu juu juu kwa watu pasi na kutenga muda kumsikiliza.
Wabongo bwana ndivyo tulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…