Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

He reap what he sow.
Hii ikitokea nchini Tanzania Nina uhakika wale Wabunge wa 'kuunga mkono hoja Mia kwa Mia wangepata akili.'
 
Ni afadhali jeshi lichukue nchi tu!

Raia Ruto nchi imeshamshinda

Kwanini hizi serikali zinang'ang'ana na sera au sheria ambazo wananchi hawazitaki???

Katika situation kama hii ya umati mkubwa hivi utarusha bomu au risasi wapi? Utaua watu wote hawa?

Hili hata Tanzania linakuja
 
I Wonder Who Is Behind All This I See Zakayo Living The House
nakubaliana na wewe Zakayo hana muda mrefu kwa hili seke seke analopitia. Aliwa underate vijana akajua kumwaga jeshi ni njia mbdala tazama video kule almost 300k Gen z mpaka Polisi wanapanda magari wanakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…