maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Upo Sahihi mkuu Gen Z wamenikosha hii spirit isambae Africa nzima kufuta hii modern colonisationnakubaliana na wewe Zakayo hana muda mrefu kwa hili seke seke analopitia. Aliwa underate vijana akajua kumwaga jeshi ni njia mbdala tazama video kule almost 300k Gen z mpaka Polisi wanapanda magari wanakimbia
Mkuu haya maneno kuntu sana. Na sisi Tanzania 🇹🇿 maisha yetu ni kutafuta ela ya kula tu, huku viongozi ikiendelea kula keki tamu ambayo mwenyezi mungu alitupatia sote😂ila HAKI haiombwi waache tu wafight together as 1
KENYANS
AiseeKama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist
View: https://www.youtube.com/watch?v=lnphxaOw63w
Hapana???Kwa Tz hapana
soma hapo chini mkuu👇Unabii upi huo
NaamWamethubutu wameweza
Editedsoma hapo chini mkuu👇
Hakuna Kitu hapo Bima hazilipi kwa janga kama hilo... riot and strike hawalipi.. at least ingekuwa errection all risks na ni siku za chaguzi tu.. huo ujinga wa kipumbavu kwa kumuiga zungu letu lililotoa hoja ya kukatwa ya kuweka na kutolea tukashindwa la kumfanya..Hakuna hasara hapo.
Hivyo vyote vina bima, atalipwa kila kitu na nyongeza juu
tazama Gen z wakiruka ukuta kumtafuta ruto👇E
Edited
Sasa hata wakiiona kwa mang'ombe yaliyopo tanzania huko mtafanya niniWabunge wa ccm hii wanaiona lakini?
🤔⌚
Asante afisaHakuna Kitu hapo Bima hazilipi kwa janga kama hilo... riot and strike hawalipi.. at least ingekuwa errection all risks na ni siku za chaguzi tu.. huo ujinga wa kipumbavu kwa kumuiga zungu letu lililotoa hoja ya kukatwa ya kuweka na kutolea tukashindwa la kumfanya..
BIMA hazilipi maandamano na fujo.. only majanga fujo ni mipango
Hiyo ilikuwa jumanne kabla ya Ruto kukubali yaishe. Angeleta ujinga wangeingia IkuluIkulu wameshindwa kwenda wanavamia makazi ya watu sasa doh
Bima dhidi ya Riots? Bima haitolewi Kama njugu.Hakuna hasara hapo.
Hivyo vyote vina bima, atalipwa kila kitu na nyongeza juu
Huyo Kimani Kuria mbunge wa Molo ndio mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge. Hivyo lazima aonje joto la jiwe.Sija ona kosa la kuku ..hawa vijana ni hopeless iyo mifungo si biashara iyo na mboga una beba