Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Kwa macho yangu haya na hiyo Picha naiona ya Kawaida.

Mpaka sasa East Africa yote hiii nyumba iliyonikaa kichwani na kuitamani ni ya HAMISS KIGGUNDU huyu jamaa yupo UGANDA.

Huyu bwana mkubwa ile nyumba anayoishi ni zaidi ya DREAM HOUSE.

Acha kabisa haya majumba ya kifahari yanayojengwa na VIJANA mzee wetu bakhressa kajenga mansion lake kwa umri wake ila ukikutana na madude ya Vijana ndio utajua kweli ULAYA ni popote pale.

Unaweza ishi TANDALE na ukaishi kama CR7 au FLLOYD ni pesa tu inaleta majibu.

ila HAMIS KIGGUNDU ile nyumba anayoishi sio ya kawaida kwa EAST AFRICA hiii sijui nani anaishi kwenye jumba kama lile,sijui.
 
Onyesha na jumba la LE MUTUZ
 
Mzee nakuheshimu sana embu nishushe kwenye kigari chako hichi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mnazngumzia kuoa mke zaid ya mmoja et ksa mwnyepesa awaz zaidi ngono
uongo huoo !!! big NO


wanaume wote wliokamilka ni wapenz wa tendo eidha ngono ama tendo la ndoa ambae aoi zaidi ya wawl eidha dini yake haimruhusu..!! hana uwezo wa kuwahudumia (umasikini) ama hana uwezo wa kuwahudumu hawo wanwke yan kuwamudu kama mume (tendo )

alaf kwnye ndoa akuna ngono wakuu kwnye ndoa ni tendo la ndoa
ngono ni kwa wazinzi huko

vingnevyo ukimuona mtu ana pesa na ana mke mmoja na dini inamrhusu ujue hawawez hawo wanawke prd
au kijamii anaonekana na mke mmoja ila anao wnwke rundo huko in his shoes!! anawakula kmyamya

A man who is complete and sex are two sides of the same coin they r inseparable
 
Mamaa yaaaangu🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…