Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Masaki anazo mbili Kuna hii ipo barabara ya kutokea St.Joseph hiyo ni ya kukutana na marafiki zake na kuchoma mishkaki na kula Gomba.Yeye anaishi Ile ya karibu na Slip way.
Nyieeee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£nimeamin kunawatu tunasindikiza wenzetu waishi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyieeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeamin kunawatu tunasindikiza wenzetu waishi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We acha tu mkuu Mimi nimepata bahati ya kukutana na watu hapa bongo Kuna watu wanaishi aiseeee.
 
Watu kama wewe mnasababisha watu tupate burudani hapa na tuishi miaka mingi πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Baadhi ya kauli ya ambao hatujapata pesa ..
1.pesa inanunua nyumba ila pesa hainunui usingizi
2.Hata uwe na mali kiasi gani hutazikwa nayo
3.Pesa inanunua chakula ila hainunui hamu ya kula
HAYA TUENDELEZE ZINGINE KWA COMMENT
Kauli za kumfariji masikini hizo.
 

Huyo ni Steve Jobs[emoji736]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ivi mwenyewe akiona comment ka hii inamuhusu atacheka,ata shangaa au atasikitika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ maana mm vyote vimenijia kwa wakat mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…