Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.”
Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na hata saa zisizo za kawaida. Kuna muda mtu unajiuliza na huu muda kuna nini , au kuna taarifa gani unapewa.
Kwa nini zinatumwa bila ridhaa ya wapokeaji (spam)?