KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Digitaldreamer

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2022
Posts
879
Reaction score
1,578
Habari za asubuhi ndugu zangu!

Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
‎
‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.”
‎
‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na hata saa zisizo za kawaida. Kuna muda mtu unajiuliza na huu muda kuna nini , au kuna taarifa gani unapewa.

‎Kwa nini zinatumwa bila ridhaa ya wapokeaji (spam)?
‎
 
Si wanazo zile drone zao sasa jumbe za nini tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…