The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hana kosa yupo sahihi 💯 media za bongo ni takatakaJumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imetoa wito kwa vyombo vya habari kutompa ushirikiano Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen (Madam Rita), hadi atakapoomba radhi kufuatia kauli aliyotoa dhidi ya chombo cha habari ambayo wameeleza si ya kiungwana.
JUMIKITA imesema kitendo kilichofanywa na Madam Rita kinadhihirisha ukosefu wa adabu pamoja na kutoheshimu vyombo vya habari.
View attachment 3575921
Alichokisema Madam Ritha hadi barua hiyo kutolewa:
Trump huwa anaziitaSi lazima kila mtu akubali kila chombo cha habari.
Madam kaweka standards zake, vi media anavyoviona vya uchwara uchwara kavikataa.
Ana sababu zake, ziheshimiwe.
Aachwe afanye kazi na media anazozikubali ambazo nazo zinamkubali.
Tatizo liko wapi?
Taaluma ya habari kulindwa maana yake si kila mwanahabari kulazimisha interview na kila mtu, especially kama mtu mwenyewe si kiongozi wa kiserikali au public servant.
Wanahabari hamuelewi vipi mtu kukataa kuongea nanyi ni haki yake ya kikatiba na kibinadamu?
Trump huwa anaziita
fake news na waandishi wao hadharani kabisa, sijaona wakitaka kususa.
Kuna muda hata maswali yao hajibu kabisa.Hamna cha ajabu alichofanya Madam Ritha.
Hata kuwakilisha kidharau ni haki yake pia.Yess ni haki yake kusema hivo japo kwenye uwasilishaji amewasilisha kidharau flani hivi.....kwa upande wangu siwezi kulala kwenye vigest uchwara uchwara vya 5000🤣🤣🤣
Not entirely true.Trump huwa anaziita
fake news na waandishi wao hadharani kabisa, sijaona wakitaka kususa.
Kuna muda hata maswali yao hajibu kabisa.Hamna cha ajabu alichofanya Madam Ritha.
Kosa lake niniHaongei na media uchwara uchwara............
Hii JUMIKITA(it's my first time kusikia) ilikuwa wapi wakati hivyo vi-media uchwara na mainstream media kwa makusudi kabisa zikaacha kuripoti mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Samia pamoja na genge lake, Watanganyika wanatekwa kila uchwao, kufirwa na kuuawa huwa inakuwa wapi hiyo organisation koko.
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.
Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.
JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.
Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.
Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)
Kama kweli ni vi-media uchwara ulitaka awe mnafiki?Huyo bibi hajafanya vyema kuwajibu vijana wapambanaji kuwa ni uchwarwa ni majibu ya kuvunja moyo
Mwamba unatumia nuclear bomb kuua sisimizi?Samuya aliwaomba radhi lini?
Wao wenyewe uchwara tuHiyo jumuiya ili ongea nini kuhusu October 29