JUMIKITA: Media zisimpe tena ushirikiano Madam Rita

Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360

-------

Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.

Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.

JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.

Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.

Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)
Naskia naye anatafuna njugu/ minjingu/booster. Sasa maringo ya nini?

King Kong III Erythrocyte

adriz de mbusii
 
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360

-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.

Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.

JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.

Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.

Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)

================
Kwa njaa za Watanganyika Hilo haiwezekani na pili ni wadhaifu.
 
Hawa wapuuzi kwa nini hawajatoa tamko la JF kufungiwa mpaka leo?
 
Nalitazama suala hili kwa pande mbili, moja kama dharau na ina impact kwa aliyedharauliwa na aliyedharau. Mbili ninatazama suala hili kama ubinadamu. Ni vizuri kujua kuwa watu hukosea na pengine hata yeye anajuta kwa kusema hivo.

Nb: Maneno yako yanaweza kuwa mlango au kuwa kifungo kabla hujaongea fikiri kwanza.
Hata hajakosea, online media nyingi bongo ni media uchwara
 
OnlineTv nyingi bongo ni media uchwara
Mimi nashangaa watu wanamfokea Madam Rita wakati media za bongo nyingi ni uchwara. Hakuna hata media moja imeongelea ufisadi kwenye ripoti ya CAG!!
 
Yess ni haki yake kusema hivo japo kwenye uwasilishaji amewasilisha kidharau flani hivi.....kwa upande wangu siwezi kulala kwenye vigest uchwara uchwara vya 5000🤣🤣🤣
Jumuiya ya wamiliki wa guest za bei chee tumesikitishwa na tunakemea vikali bandiko hili la captai 😂
 
Ana media yake, azam sinema zetu chaneli, hiyo ndiyo itakuwa inamfanyia coverage
 
Hata kuwakilisha kidharau ni haki yake pia.

Hivyo vigesti unaweza kuona vya bei chee, halafu vikakuletea kunguni mpaka nyumbani.
Noma sana unajua saivi media zimekuwa nyingi sana
 
Back
Top Bottom