Naskia naye anatafuna njugu/ minjingu/booster. Sasa maringo ya nini?
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.
Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.
JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.
Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.
Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)
Alikosea sana hata yeye hakufika hapo anapojiona wangemwita jaji uchwara,noma sana!Huyo bibi hajafanya vyema kuwajibu vijana wapambanaji kuwa ni uchwarwa ni majibu ya kuvunja moyo
Kwa njaa za Watanganyika Hilo haiwezekani na pili ni wadhaifu.
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.
Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.
JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.
Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.
Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)
================
Hivyo tu?!Haongei na media uchwara uchwara............
OnlineTv nyingi bongo ni media uchwaraHuyo bibi hajafanya vyema kuwajibu vijana wapambanaji kuwa ni uchwarwa ni majibu ya kuvunja moyo
Hawa wapuuzi kwa nini hawajatoa tamko la JF kufungiwa mpaka leo?
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha mtandaoni.
Kitendo hicho ni kinyume na misingi ya maadili ya taaluma ya habari, na kinadhihirisha dharau, ukosefu wa adabu pamoja na kutokujali wajibu wa kuheshimu vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla.
JUMIKITA inasisitiza kuwa taaluma ya habari inapaswa kulindwa, kuheshimiwa na kuenziwa na wadau wote bila kujali nafasi au hadhi ya mtu katika jamii.
Kutokana na tukio hilo, JUMIKITA inatoa wito kwa vyombo vyote vya habari kusitisha kumpa ushirikiano Madam Rita hadi pale atakapojitokeza hadharani kuomba radhi kwa umma pamoja na chombo cha habari kilichoathirika.
Imetolewa na:
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA)
================
Hata hajakosea, online media nyingi bongo ni media uchwaraNalitazama suala hili kwa pande mbili, moja kama dharau na ina impact kwa aliyedharauliwa na aliyedharau. Mbili ninatazama suala hili kama ubinadamu. Ni vizuri kujua kuwa watu hukosea na pengine hata yeye anajuta kwa kusema hivo.
Nb: Maneno yako yanaweza kuwa mlango au kuwa kifungo kabla hujaongea fikiri kwanza.
Media uchwara ndo zikoje?Hata hajakosea, online media nyingi bongo ni media uchwara
Mimi nashangaa watu wanamfokea Madam Rita wakati media za bongo nyingi ni uchwara. Hakuna hata media moja imeongelea ufisadi kwenye ripoti ya CAG!!OnlineTv nyingi bongo ni media uchwara
Jumuiya ya wamiliki wa guest za bei chee tumesikitishwa na tunakemea vikali bandiko hili la captai 😂Yess ni haki yake kusema hivo japo kwenye uwasilishaji amewasilisha kidharau flani hivi.....kwa upande wangu siwezi kulala kwenye vigest uchwara uchwara vya 5000🤣🤣🤣
Ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze! Huyo si Mr Machache alikuwa anakula? Dokii naye Mr Machache alikula ,Kama walipitiwa lazima watafune Mbaazi aka njugu mawe.Naskia naye anatafuna njugu/ minjingu/booster. Sasa maringo ya nini?
King Kong III Erythrocyte
adriz de mbusii
Hahahahahaaaaa kiiinggggNi kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze! Huyo si Mr Machache alikuwa anakula? Dokii naye Mr Machache alikula ,Kama walipitiwa lazima watafune Mbaazi aka njugu mawe.
La Familiaaa Ilala Ilala Ilalaa Mikono mfululu yaani papapa papapa paapaaaa wamekaaaaa.Hahahahahaaaaa kiiingggg
kajibu mtu nyodoKwani alifanya nini?
Noma sana unajua saivi media zimekuwa nyingi sanaHata kuwakilisha kidharau ni haki yake pia.
Hivyo vigesti unaweza kuona vya bei chee, halafu vikakuletea kunguni mpaka nyumbani.