Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

Kwahiyo inakuwa around 45 millions.
Ni mjinga pekee atatoa hiyo pesa ili mwanae aajiriwe kwa shida na kulipwa milioni 1.

Ikumbukwe pia mtaani kuna madaktari waliokosa ajira , wamekwenda private wanalipwa laki 6 , laki 7 au pungufu. Na kupata huko private mpaka uunganishwe.

Mgambo miezi , 3 bure Mwembeyanga ukipata ajira Bandari kama mlinzi mshahara wako unamzidi Daktari.

Vijana machaguo ni yenu
  • Bora tuende muembe Yanga kwa kweli
  • take home md 870,000
 
Masters ni miez mingap na wanalipwa shngap?
Mkuu MMED ni miezi tena 🤣🤣
MMED ni kuanzia Miaka 3 na kuendelea japo MPH (master ya Public Health ni mwkaa mmoka mpka Miwili)..
Kwenye master Ndo kuna Shida ni Ngumu sana..

Master Wanaanzia TGHS G ambayo ni 2,270,000/- basic
 
mwambie tu minne maana naona vyuo vingi sa hv MMED wamekazia hapo kwenye kozi nyingi, hapo Bado Kuna kurudia mwaka mtu asipokuwa making 😂
 
Ada ya CUHAS kweli ni ndefu nilimpeleka dogo 2021 MD 1 ada ilikuwa 5200000 na points kama nakumbuka vizuri, sijajua wale walikwama wapi maana hata wa nyuma yao gharama zao inaonekana ni humo humo

Nilisema haya kuna mtu huko juu akanibeza na kunijia juu kuhusu hili suala la fee structure kwenye chuo cha Bugando na KCMC..

Sijui wanajua sisi hatujasoma au hatujui yanayoendelea huko vyuoni.

Siku hizi kila mtu ni mjuaji ndo tatizo.
 
Nilisema haya kuna mtu huko juu akanibeza na kunijia juu ya suala la fee structure kwenye chuo cha Bugando na KCMC..

Sijui wanajua sisi hatujasoma au hatujui yanayoendelea huko vyuoni.

Siku hizi kila mtu ni mjuaji ndo tatizo.
Ni kweli mkuu JF wajuaji ni wengi sometimes unasoma kitu unaona kabisa siyo Cha kweli na watu wanachangia...inabidi upite kimya kimya tu
 
Back
Top Bottom