Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndiyo hivyo mkuu.Mkuu umenikumbusha Clip moja Hivi..
View attachment 2894263
Sasa hapo unafikiri mtoto anaweza kuendeleza kipaji chake hata kama kipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo mkuu.Mkuu umenikumbusha Clip moja Hivi..
View attachment 2894263
Yeah ni kweli kabisa..Me nawa encourage MD wakasome Angalau Wapate Master (MMED) Angalau kuna ka UfadhaliSasa 1.5 ikikatwa si laki9 hyo
Sasa hapo kosea kidogo Uone utakavyosemwa 🤣🤣Dah! Kiukweli serikali ya ccm inawanyonya Sana, kazi kubwa mshahara kiduchu[emoji29]
Masters ni miez mingap na wanalipwa shngap?Yeah ni kweli kabisa..Me nawa encourage MD wakasome Angalau Wapate Master (MMED) Angalau kuna ka Ufadhali
Kwahiyo inakuwa around 45 millions.
Ni mjinga pekee atatoa hiyo pesa ili mwanae aajiriwe kwa shida na kulipwa milioni 1.
Ikumbukwe pia mtaani kuna madaktari waliokosa ajira , wamekwenda private wanalipwa laki 6 , laki 7 au pungufu. Na kupata huko private mpaka uunganishwe.
Mgambo miezi , 3 bure Mwembeyanga ukipata ajira Bandari kama mlinzi mshahara wako unamzidi Daktari.
Vijana machaguo ni yenu
Mkuu MMED ni miezi tena 🤣🤣Masters ni miez mingap na wanalipwa shngap?
Bora nisomee accounting naweza bahatika traHapana Mkuu Daktari Bingwa Anaanza na Mshahara wa TGHS G ambao ni sawa na Tsh 2,270,000/ Basic..
Labda kama ni private ila kwa serikali huo ndio mshahara..
Ukiona watu wanalia Mtuhurumie..😀
Hata MD ukibahatika kwenye mshrika kama NIMR na mengine ya Umma na utafiti Unakuwa umebutua sanaBora nisomee accounting naweza bahatika tra
Tra wanalipwa shngap?Bora nisomee accounting naweza bahatika tra
mwambie tu minne maana naona vyuo vingi sa hv MMED wamekazia hapo kwenye kozi nyingi, hapo Bado Kuna kurudia mwaka mtu asipokuwa making 😂Mkuu MMED ni miezi tena 🤣🤣
MMED ni kuanzia Miaka 3 na kuendelea japo MPH (master ya Public Health ni mwkaa mmoka mpka Miwili)..
Kwenye master Ndo kuna Shida ni Ngumu sana..
Master Wanaanzia TGHS G ambayo ni 2,270,000/- basic
Dah all in all life is toughMkuu MMED ni miezi tena 🤣🤣
MMED ni kuanzia Miaka 3 na kuendelea japo MPH (master ya Public Health ni mwkaa mmoka mpka Miwili)..
Kwenye master Ndo kuna Shida ni Ngumu sana..
Master Wanaanzia TGHS G ambayo ni 2,270,000/- basic
Kwahyo apo +6 ya MD unakuwa umesoma miaka 10 ili uje ulipwe 2M per month ambayo take home ni 1.5Mmwambie tu minne maana naona vyuo vingi sa hv MMED wamekazia hapo kwenye kozi nyingi, hapo Bado Kuna kurudia mwaka mtu asipokuwa making 😂
Basic salary ni ndogo, kinachookoa Kuna Hela nyingine kama za bima nkKwahyo apo +6 ya MD unakuwa umesoma miaka 10 ili uje ulipwe 2M per month ambayo take home ni 1.5M
Za bima kivp?Basic salary ni ndogo, kinachookoa Kuna Hela nyingine kama za bima nk
Bima za afya, inqlipwa kila mweziZa bima kivp?
Na sio hospitali zoteBima za afya, inqlipwa kila mwezi
Analipwa Daktari?Bima za afya, inqlipwa kila mwezi
Ada ya CUHAS kweli ni ndefu nilimpeleka dogo 2021 MD 1 ada ilikuwa 5200000 na points kama nakumbuka vizuri, sijajua wale walikwama wapi maana hata wa nyuma yao gharama zao inaonekana ni humo humo
Ni kweli mkuu JF wajuaji ni wengi sometimes unasoma kitu unaona kabisa siyo Cha kweli na watu wanachangia...inabidi upite kimya kimya tuNilisema haya kuna mtu huko juu akanibeza na kunijia juu ya suala la fee structure kwenye chuo cha Bugando na KCMC..
Sijui wanajua sisi hatujasoma au hatujui yanayoendelea huko vyuoni.
Siku hizi kila mtu ni mjuaji ndo tatizo.
Miaka 5 iliyopita Bugando ada ilikuwa milioni 6 ,kwa leo 2024 itakuwa ilishaongezekaAcha uongo hamna chuo cha private ambacho kipo chini ya 6m ada ya udakitari nchi nzima katika vyuo vya privaye ni kati ya 6 to 8m