Wote daktari, nesi, mpaka medical attendant, kinachotofautiana ni kiwango tu Cha pesaAnalipwa Daktari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote daktari, nesi, mpaka medical attendant, kinachotofautiana ni kiwango tu Cha pesaAnalipwa Daktari?
Digrii ya udaktari ni muhimu sana. Madaktari wazee wanastaafu na wengine wanakufa kwahiyo damu changa inahitajika. Kama sijakosea hiyo gharama si halisia, bado serikali inawekeza katika kusomesha madaktari, vyuo vinapata misaada toka serikalini. Fani ya udaktari ni wito wa kutumikia na kuponya binadamu wengine si fani ya kufikiria kurudisha uwekezaji uliofanya. Serikali isipotoa ruzuku kwa vyuo vya Udaktari utakuta madaktari wote watakuwa wanatoka kwenye familia za kitajiri . Fani ya udaktari ni fani ambayo katika nchi kama Marekani na Uingereza ndiyo inayo ongoza kwa kulipa mishahara mizuri sana. Hapa Tz madaktari wanabangaiza pesa kwa kufanya kazi muda mrefu katika zaidi ya hospitali moja. Tunatakiwa kuwatia moyo wazazi wenye uwezo waendelee kusaidia serikali katika kusomesha madaktari wengi wenye wito kamili wa kutumikia na siyo kwaajili " status symbol "View attachment 2893856
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Na zile hela za kumwona daktari?Wote daktari, nesi, mpaka medical attendant, kinachotofautiana ni kiwango tu Cha pesa
Mwembeyanga miezi 3 tu ukipata shavu TPA salary ya kuanzia 1.3 m , posho ukizikusanya ni balaa
- Bora tuende muembe Yanga kwa kweli
- take home md 870,000
Aisee ngoja nifanye mpangoMwembeyanga miezi 3 tu ukipata shavu TPA salary ya kuanzia 1.3 m , posho ukizikusanya ni balaa
Posho ya usafiri
Posho ya pango ya nyumba
Posho ya fenicha
Posho ya extra duty
Posho ya...
Pesa nyingi sana na allowances nyingi sanaTra wanalipwa shngap?
98% wanaishia tamisemiHata MD ukibahatika kwenye mshrika kama NIMR na mengine ya Umma na utafiti Unakuwa umebutua sana
Kwa kweli heshima Kwa madaktari kama bingwa analipwa hivyo asiye bingwa itakuaje na mbaya zaidi kazi za madaktari kosa dogo la kibinadamu linaleta madhara makubwa na wananchi na wanasiasa hatutambui bahati mbaya, kinachotokea ni kulaumu tu na kuwalaani.Hapana Mkuu Daktari Bingwa Anaanza na Mshahara wa TGHS G ambao ni sawa na Tsh 2,270,000/ Basic..
Labda kama ni private ila kwa serikali huo ndio mshahara..
Ukiona watu wanalia Mtuhurumie..😀
Tamisemi a.k.a local government98% wanaishia tamisemi
Ngoja niishie hapaKwa kweli heshima Kwa madaktari kama bingwa analipwa hivyo asiye bingwa itakuaje na mbaya zaidi kazi za madaktari kosa dogo la kibinadamu linaleta madhara makubwa na wananchi na wanasiasa hatutambui bahati mbaya, kinachotokea ni kulaumu tu na kuwalaani.
Wakati sie wengine fani zetu tunaweza kukosea tena sana na madhara hayaonekani moja Kwa moja ila indirectly Yana athiri jamii kubwa inaonekana kawaida na tunatatua Kwa kukaa vikao na yanaisha
Si una ndugu mkuu? Nashauri kawashauri waache hizo ajira wauze chips.Muuza chips tu kwa siku akikosa anakunja elfu 30, faida, kwa mwezi laki ,9
UsicheleweAisee ngoja nifanye mpango
Aisee bwashee 1,300,000 ni salary ya kibosiUsichelewe
Em weka numbersPesa nyingi sana na allowances nyingi sana
Sasa si unaona akili zako kusoma 2020 na 2024 unaona kweli ada ibaki na mina hisi hukusoma MDWewe ndo muongo, nimesoma KCMUCo, ambayo mnaita KCMC ada ilikuwa 3.6M nimemaliza 2020, na ni private, msiwe mnadanganya watu
Zidisha Mara 3 ya mdEm weka numbers
1.3 ml. Analipwa form four leaver mwenye cheti cha mgambo au jkt . Hapo hajapanda daraja bado. Posho hajawekewa bado.Aisee bwashee 1,300,000 ni salary ya kibosi
4.5M?Zidisha Mara 3 ya md
MD unataka kujilinganisha na Tax management Officer?4.5M?
Amna, nataka kujua huyo tax management officer analipwa shingapi?MD unataka kujilinganisha na Tax management Officer?