Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Kutoka moyoni mwako jipe jibu la swali lako. Pia nikuulize, umewasikia viongozi na wanachama wa vyama vyote vya upinzani katika mikutano yao, cha kwanza wote wanachofanya ni kukosoa na kupinga CHADEMA, je hiyo ina maana gani?Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri, Lisu akiwa uhamishoni. Alitumia vizuri huo muda!! Nyinyi mlitaka kumua akakimbia, akatumia muda wake wa ukimbizi kijitangaza.Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Lissu EU yoote Ina mjuaUwe na uwezo mkubwa wa kufikiri, Lisu akiwa uhamishoni. Alitumia vizuri huo muda!! Nyinyi mlitaka kumua akakimbia, akatumia muda wake wa ukimbizi kijitangaza.
Akiwa ukimbizini. aliwahi kuongeza na vyombo vikuu vya habari, kama Al Jazeera Dw nk. Sasa Rungwe au Lipumba hao sio level ya Tundu Lisu.
Eti CHAUMA nao ni wapinzani wa CCMWale wengine ni vibaraka wa serikali
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Unaambiwa mwaka huu Lissu angetaka kuwa billionaire angekuwa maana Samia alikuwa tayari kumuonga dau loloteTundu Lissu hata Maccm yanamkubali ...
Ni mtu aliyejitoa sadaka kwa nchi yake...
Hakuna anayeweza kuwa kama lisu hayupo..
Alikuwa ana uwezo wa kukaa kimya na maisha yake yakaenda vizuri tu.
Apewe maua yake .
Makala na Nchimbi wanajidai kuwa kina John Mrema ndo wapinzaniCCM na CHADEMA ni kama Simba na Yanga. Uwe ACT. CHSUMA. CUF etc. moyoni utakuwa ni Chadema au CCM.
Hauziki, ila Lissu alimweza mboweSi muda mrefu Mbowe atakua kiangazi wa Chauma
Tofauti na Lisu kuna mpinzani gani tena nchi hiiHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Alikua mfanya biashara wa siasa, akipanda jukwaani anatuambia tuzungushe ngumi kumbe mwamba anazungusha pesa!!!Hauziki, ila Lissu alimweza mbowe
Nilikuwa nikomenti haya expert wangu ila umeniwakilishaUwe na uwezo mkubwa wa kufikiri, Lisu akiwa uhamishoni. Alitumia vizuri huo muda!! Nyinyi mlitaka kumua akakimbia, akatumia muda wake wa ukimbizi kijitangaza.
Akiwa ukimbizini. aliwahi kuongeza na vyombo vikuu vya habari, kama Al Jazeera Dw nk. Sasa Rungwe au Lipumba hao sio level ya Tundu Lisu.