Jumuiya ya kimataifa inajua opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee

Mbali na Chadema, vyama vinavyoitwa vya upinzani vinapinga nini hasa? Chadema inapinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi. Chadema inapinga mfumo bandia wa uchaguzi unaopora haki ya wananchi ya kuchagua kwa haki viongozi wanaowataka na inapinga ka vitendo kupitia kampeni ya No Reforms, No Election. Je vyama mamluki vinavyoitwa vya upinzani vyenyewe vinapinga nini?
 
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Ndivyo alivyowadanganya
 
Kila kitu kinatokea jinsi ulivyo JIBRAND yeye amejibrand zaidi kwa wazungu na ndiko anapopatia fedha zake za matumizi ya kila siku!
 
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Wengine ni makada wa CCM tupu
 
Ni kweli!

Ndio maana reforms zitafanyika na October tuta tick coz watz wote ni ndugu!

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
Mbali na Chadema, vyama vinavyoitwa vya upinzani vinapinga nini hasa? Chadema inapinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na uuaji wa wanachi, Chadema inapinga mfumo bandia wa uchaguzi unaopora haki ya wananchi ya kuchagua kwa haki viongozi wanaowataka na inapinga ka vitendo kupitia kampeni ya No Reforms, No Election. Je vyama mamluki vinavyoitwa vya upinzani vyenyewe vinapinga nini?
Vinasubiri wakati wa uchaguzi watoe wagombea.. washindwe uchaguzi wapate ruzuku . Wakatulie majumbani kwao
 
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Lisu anajitangaza sana nje kama vile huko nje ndio wapiga kura waliko tofauti na vyama vingine kama chama cha upinzani cha ACT wazalendo ambacho kinajua kushika serikali unahitaji ridhaa ya wananchi wa ndani ya nchi sio wazungu wa nje ya nchi.Ndio Maana ACT wazalendo chama kichanga kimeweza hadi kutoa wabunge,na wa baraza ka wawakilishi na makamu wa Raisi wa Zanzibar

Chadema ni foreign oriented party wakati vingine vyote ikiwemo CCM ni domestic oriented parties ndio maana habari nyingi za Chadema ziko zaidi vyombo vya habari vya nje sio vya ndani ya nchi

Hata vyombo vya habari vya ndani vinajua kuwa Chadema ni foreign oriented party hivyo hawarushi.sana habari wanawaachia hao wa nje wenye chama chao warushe hizo habari huko kwao kwenye vyombo vyao vya habari.
 
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
John Heche hawamtambui ?
 
Iwapo kwa tafsiri yako ni wale wa Chaumwa basi utakuwa sahihi.
 
Mbali na Chadema, vyama vinavyoitwa vya upinzani vinapinga nini hasa? Chadema inapinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na uuaji wa wanachi, Chadema inapinga mfumo bandia wa uchaguzi unaopora haki ya wananchi ya kuchagua kwa haki viongozi wanaowataka na inapinga ka vitendo kupitia kampeni ya No Reforms, No Election. Je vyama mamluki vinavyoitwa vya upinzani vyenyewe vinapinga nini?
Chakandumuz ni tawi la ccm
 
Back
Top Bottom