Jumuiya ya kimataifa inajua opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee

Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Ulitaka awe Zitto (kibaraka wa CCM), kwa taarifa yako, jumuiya ya kimataifa wanalijuwa hili kuwa Zitto si mpinzani bali ni impostor tu.
 
Lisu ni kiongoxi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe
 
Ng'ombe wa mama
 
Kwa hakika, kiongozi pekee mwenye uchungu na mapenzi mema ya pekee kwa Taifa hili ni Lisu. Tunaomba sana Mungu amzidishie ulinzi wake na awadhalilishe maadui zake, hasa wanaofanyia udalali rasilimali za Taifa letu kwa waarabu; na wale watekaji na wauaji wa wananchi wenye uzalendo wa kweli kwa Taifa.
Asante Mungu wetu kwa kutupatia Tundu Lisu, sauti isiyopinda kwa suala la haki na uhuru.
Lissu haongeki
 
Mbowe kaitendea mengi Chadema, msisahau hilo
Shule ni kitu muhimu sana Mbowe hana shule na ndio maana alikuwa anaenda kukiua chama. Mwaka 2015 Jamaa alikunja 15 billion kutoka kwa Lowasaa ili amruhusu agombee urais. Ule mwaka chadema wangegombea na Silaa na Lowasaa akawa mwanachama baki, unadhani ingekuwaje ? Chadema lost a golden chance in 2015. Mbowe anawadanganya watu hana njaa wakati mali zote alizonazo ni za kurithi kutoka kwa baba yake. Na hakuna mali aliyoendeleza kuanzia bilicanas mpaka aishi hotel. Kuna kiwanja moshi mjini mzee Aikaeli alipewa na Nyerere mpaka kesho hakijajengwa halafu mnasema Mbowe Hana njaa. Mbowe ni businessman wa siasa kama Raila anavyofanya Kenya.
 
Lisu ni kiongoxi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe
Mimi namwomba Mungu CCM waongeze shida mpaka watu kama nyie muanze kutekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali.
 
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.

Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.

Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Currently tz political figure, is Tundu lissu, ,mambo ya Mungu aya
 
Kabla ungeweza kusema ni Mbowe na Zitto -ila wote hao wameshajisalimisha kwa CCM. Ukitaka kujua zaidi chunguza body language ya Lissu pamoja na commanding power yake anapojrnga hoja compare na hao wawili. Kwanza Zitto hajawahi katika maisha yake ya Siasa za Upinzani kupigwa mabomu ama kulala lokap - sasa kuna mpinzani hapo ama mtu wa justification tu.
 
Back
Top Bottom