TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
SlaaUshahidi weka
Lowassa
Covid19
And many more
Kila chakandumuz wanachofanya ni agenda kuu
SlaaUshahidi weka
Hao hapo wote ni WACHUMIA TUMBO kama wakati wa Mbowe, Ulaya wanawajua kuwa ni wasanii waganga NJAAA 😅😅😅Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Mbowe kaitendea mengi Chadema, msisahau hiloAlikua mfanya biashara wa siasa, akipanda jukwaani anatuambia tuzungushe ngumi kumbe mwamba anazungusha pesa!!!
Wamesahau ZittoHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Abdul amewapa hela za Mkutano mkuu kutengeneza sare na posho akawapa pesa za chopa ili wamtoe mama yake madarakani. FUNNYEti CHAUMA nao ni wapinzani wa CCM
Hatusahau pia damu za Mawazo, Soka, Kipanya, na wengine wengi waliokua wakipigana wakijua mambo yanakwenda kumbe hayaendi kokote ni maigizo tu.Mbowe kaitendea mengi Chadema, msisahau hilo
acha iendelee kujua ivo sisi tunamjua lipumbaHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
NRNEHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Sahivi kina Mrema wamepoa kama boro la nyetoAbdul amewapa hela za Mkutano mkuu kutengeneza sare na posho akawapa pesa za chopa ili wamtoe mama yake madarakani. FUNNY
Halafu mlinzi binafsi wa Mbowe(yule commando) alikuwepo siku ya mkutano mkuu ubungo plaza akimlinda Hashimu Rungwe. FUNNY
Kwani kuna mwingine?Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Wako sawa 100%Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
KOSA la mbowe kuizira chadema ukiwa katika wakati mgumu, hiyo sio sawa.Rangi zake halis zimefahamikaMbowe kaitendea mengi Chadema, msisahau hilo
Labda babaako na mamaako tu ndio wanajua hilo ila wewe ukafikiri ni Tanzania na jumuiya ya kimataifa.Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Ng'ombe wa mamaLabda babaako na mamaako tu ndio wanajua hilo ila wewe ukafikiri ni Tanzania na jumuiya ya kimataifa.
HakunaKwani kuna Wapinzani nchi hii zaidi za Chadema?
Kwani kuna mwingine?
Wewe na wazazi wako mnajua a real opposition leader ni nani?Labda babaako na mamaako tu ndio wanajua hilo ila wewe ukafikiri ni Tanzania na jumuiya ya kimataifa.
Kwani Zitto Kabwe aka Ayatollah Mstaafu anasemaje?Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?