Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Ndivyo alivyowadanganyaHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Heche mnyika John pambadu na wengine wengi sanaTofauti na Lisu kuna mpinzani gani tena nchi hii
Kila kitu kinatokea jinsi ulivyo JIBRAND yeye amejibrand zaidi kwa wazungu na ndiko anapopatia fedha zake za matumizi ya kila siku!Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Alisema anataka kunusuru chama, alijua anachomaanishaHauziki, ila Lissu alimweza mbowe
Na watatoa mgombea kiti cha uraisi🤔Eti CHAUMA nao ni wapinzani wa CCM
Wengine ni makada wa CCM tupuHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Mkuu vipi umetia nia Mvomero au Morogoro Mjini?It's because they don't care...
Vinasubiri wakati wa uchaguzi watoe wagombea.. washindwe uchaguzi wapate ruzuku . Wakatulie majumbani kwaoMbali na Chadema, vyama vinavyoitwa vya upinzani vinapinga nini hasa? Chadema inapinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na uuaji wa wanachi, Chadema inapinga mfumo bandia wa uchaguzi unaopora haki ya wananchi ya kuchagua kwa haki viongozi wanaowataka na inapinga ka vitendo kupitia kampeni ya No Reforms, No Election. Je vyama mamluki vinavyoitwa vya upinzani vyenyewe vinapinga nini?
No reforms no electionNi kweli!
Ndio maana reforms zitafanyika na October tuta tick coz watz wote ni ndugu!
KAZI na utu tunasonga mbele!!
Lisu anajitangaza sana nje kama vile huko nje ndio wapiga kura waliko tofauti na vyama vingine kama chama cha upinzani cha ACT wazalendo ambacho kinajua kushika serikali unahitaji ridhaa ya wananchi wa ndani ya nchi sio wazungu wa nje ya nchi.Ndio Maana ACT wazalendo chama kichanga kimeweza hadi kutoa wabunge,na wa baraza ka wawakilishi na makamu wa Raisi wa ZanzibarHii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
John Heche hawamtambui ?Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Iwapo kwa tafsiri yako ni wale wa Chaumwa basi utakuwa sahihi.Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?
Labda viazi vya kwenye ubwabwa wa Chaumwa!Tofauti na Lisu kuna mpinzani gani tena nchi hii
Chakandumuz ni tawi la ccmMbali na Chadema, vyama vinavyoitwa vya upinzani vinapinga nini hasa? Chadema inapinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na uuaji wa wanachi, Chadema inapinga mfumo bandia wa uchaguzi unaopora haki ya wananchi ya kuchagua kwa haki viongozi wanaowataka na inapinga ka vitendo kupitia kampeni ya No Reforms, No Election. Je vyama mamluki vinavyoitwa vya upinzani vyenyewe vinapinga nini?
Kwanini sio Chaumwa na na viazi vya Ubwabwa?Chakandumuz ni tawi la ccm
Ushahidi wekaChakandumuz ni tawi la ccm