Jumuiya ya kimataifa inajua opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee

Hao hapo wote ni WACHUMIA TUMBO kama wakati wa Mbowe, Ulaya wanawajua kuwa ni wasanii waganga NJAAA 😅😅😅
 
Kwa hakika, kiongozi pekee mwenye uchungu na mapenzi mema ya pekee kwa Taifa hili ni Lisu. Tunaomba sana Mungu amzidishie ulinzi wake na awadhalilishe maadui zake, hasa wanaofanyia udalali rasilimali za Taifa letu kwa waarabu; na wale watekaji na wauaji wa wananchi wenye uzalendo wa kweli kwa Taifa.
Asante Mungu wetu kwa kutupatia Tundu Lisu, sauti isiyopinda kwa suala la haki na uhuru.
 
Wamesahau Zitto
 
Eti CHAUMA nao ni wapinzani wa CCM
Abdul amewapa hela za Mkutano mkuu kutengeneza sare na posho akawapa pesa za chopa ili wamtoe mama yake madarakani. FUNNY

Halafu mlinzi binafsi wa Mbowe(yule commando) alikuwepo siku ya mkutano mkuu ubungo plaza akimlinda Hashimu Rungwe. FUNNY
 
acha iendelee kujua ivo sisi tunamjua lipumba
 
NRNE
 
Abdul amewapa hela za Mkutano mkuu kutengeneza sare na posho akawapa pesa za chopa ili wamtoe mama yake madarakani. FUNNY

Halafu mlinzi binafsi wa Mbowe(yule commando) alikuwepo siku ya mkutano mkuu ubungo plaza akimlinda Hashimu Rungwe. FUNNY
Sahivi kina Mrema wamepoa kama boro la nyeto
 
Kwani kuna mwingine?
 
Wako sawa 100%
 
Labda babaako na mamaako tu ndio wanajua hilo ila wewe ukafikiri ni Tanzania na jumuiya ya kimataifa.
 
Kwani Zitto Kabwe aka Ayatollah Mstaafu anasemaje?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…