Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Tanzania ya leo ukiwa mpinzani inabidi uwe kama digidigi maana unaweza kunyimwa haki zako za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Uhuru Kenyatta alipewa Tausi wetu tuliowatunza na kuwaenzi toka tupate Uhuru yeye na Museveni wakapewa bure bila ridhaa ya wananchi labda sasa anataka apewe tembo wetu maana kwao wamepungua sana kazi ya majangiri. Awamu hii itatuacha wananchi masikini wa kutupwa wa kila kitu!Uhuru Kenyatta ndio atakapo aibika, mwanachama wa Common Wealth Countries halafu kajifanya kusifia na kumpongeza Mfalme kwa yaliofanyika.
Ndio watakapomuona kituko.
Watu hamuelewi kushinda Magu inaweza siyo tatizo lakini njia za ushindi wake pamoja na 99.999 ya wabunge wa chama chake hakuna binadamu mwenye akili zake anaweza sema kila jambo lilienda sawa.. Tuacheni ushabiki wa kuumiza matakwa ya wananchi, TZ ni yetu sote na kila mmoja anapaswa kutendewa haki, ndiyo maana ya uwepo wa chaguzi kama hizi...Hawa kina Zitto na Lissu na watu wachache Sana wa chadema cjui kitu gani wanataka, hatuna tatizo Kama Ni kuiba hata mbowe anaibaga hela za chadema ni utamaduni wetu Ila Mambo yanaenda, so Magu kashinda kihalali plus na vikura kidogo vya kuchakachua kuwaondoa wabunge wapiga kelele.
Sisi watanzania Ni waangaliaji tunaenjoy Sana drama za siasa Ila kamwe hatushiriki kamwe, naawaambia tunapenda drama.
Yaani kuna watu wanajua demokrasia ni hadi ashinde mpinzani😅😅😅. Mara ooh tumekamata kura wakiambiwa wazipeleke zikachunguzwe na kulinganisha kama kweli ni sawa na zile za nec hawataki kupeleka! Basi tuonesheni huyo mtu mlie mkamata nazo oooh hatujui alipo! Basi hizo kura zina namba tusomeeni hizo namba ili tuangalie ni kutoka katika kitabu gani cha kura kati ya vilivyo gawanywa na nec oooh sisi hatutaki tunataka tu tuzichome moto! 🤣🤣🤣🤣🤣SI MKUBALI TU MMESHINDWA. Kura za mh. Magufuli zipo ndani ya boksi la kura na ndizo zilizo hesabiwa hizo za nje ni za kwenu njama yenu imeshtukiwa tafuteni pa kuzipeleka au kama kweli mnajiamini ni vidume chukueni sampuli japo kura 2 tu mpeleke mahakamani zikalinganishwe.
MAGUFULI4LIFE.
View attachment 1618126View attachment 1618125
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.
Hao AU ndio baadhi yao walishuhudia uchaguzi.Jumuia ya madola wao wanarejea kwenye barua ya Beberu Amsterdam.Hakuna kitu hapo.Tunachotizama sasa ni Rais wetu wa Tanzania kuapishwa tarehe 5 mambo yaendelee mbele. Mmoja ameshaapishwa tayari.View attachment 1618126View attachment 1618125
Ì
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.
Hivi wewe dogo Lisu alisema watu wakishapiga kura wakae mita mia mbili kulinda kura na mh. Magufuli rais wetu alituambia tukisha piga kura turudi nyumbani na ndicho kilichotokea mpaka hapo huoni wengi tuliopiga kura tuliungana rais wetu? Halafu wewe ulitegemea muujiza gani wa Lisu kushinda kwenye boksi la kura?Ukishaona kundi au mtu anapewa airtime na ccm, jua huyo Ni muhuni mwenzao katika kunajisi chaguzi za nchi. Ule upuuzi juzi kila mtu kajionea, na yote yale Ni maelekezo ya muhuni mmoja mlevi wa madaraka.
Hivi wewe dogo Lisu alisema watu wakishapiga kura wakae mita mia mbili kulinda kura na mh. Magufuli rais wetu alituambia tukisha piga kura turudi nyumbani na ndicho kilichotokea mpaka hapo huoni wengi tuliopiga kura tuliungana rais wetu? Halafu wewe ulitegemea muujiza gani wa Lisu kushinda kwenye boksi la kura?
MAGUFULI4LIFE.
Unajikuta anajua sana kumbe ulichoandika ni utumbo mtupYaani kuna watu wanajua demokrasia ni hadi ashinde mpinzani😅😅😅. Mara ooh tumekamata kura wakiambiwa wazipeleke zikachunguzwe na kulinganisha kama kweli ni sawa na zile za nec hawataki kupeleka! Basi tuonesheni huyo mtu mlie mkamata nazo oooh hatujui alipo! Basi hizo kura zina namba tusomeeni hizo namba ili tuangalie ni kutoka katika kitabu gani cha kura kati ya vilivyo gawanywa na nec oooh sisi hatutaki tunataka tu tuzichome moto! 🤣🤣🤣🤣🤣SI MKUBALI TU MMESHINDWA. Kura za mh. Magufuli zipo ndani ya boksi la kura na ndizo zilizo hesabiwa hizo za nje ni za kwenu njama yenu imeshtukiwa tafuteni pa kuzipeleka au kama kweli mnajiamini ni vidume chukueni sampuli japo kura 2 tu mpeleke mahakamani zikalinganishwe.
MAGUFULI4LIFE.
Sio Tausi, alivopelekshwa mchaka mchaka hivi juzi hapa kwenye kususiana alishika adabu. Kakaa na kuwaza akiwazua akaona aweke maslahi ya taifa lake kwanza kabla ya ukweli halisiUhuru Kenyatta ndio tuseme ile "HONGO ULIOPEWA YA NDEGE TAUSI" imekufanya usifie uchaguzi wa dhuluma???
Ndio atakapo aibika, mwanachama wa Common Wealth Countries halafu kajifanya kusifia na kumpongeza Mfalme kwa yaliofanyika. Wakati viongozi wa CWC wamesikitishwa na uchaguzi huo.
Ndio watakapomuona kituko Uhuru Kenyata.
Mungu wabariki Wazungu , Mungu walaani waafricaView attachment 1618126View attachment 1618125
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.
anafanya nchi kama familia yakeHaya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.
Hii ni Taassisi kubwa sana duniani imeripoti hili.
Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Jiwe hata familia yake hawezi kuiongoza..tunamwona tu yeye na Janeth jinsi walivyo, wanalazimishana kuishi!anafanya nchi kama familia yake
Wanamtegemea Katibu Mtendaji wa SADC na viongozi wengine kama wa Zimbabwe Kuwapa matumaini ya muda mfupi serikali ya CCM Mpya awamu ya 6 . Katibu Mtendaji wa SADC ni mtanzania rejea hapa Katibu Mkuu wa SADC :Inamaana viongozi wa Afrika Mashariki ná viongozi wa SADC hawakuyaona haya?
Wanamtegemea Katibu Mtendaji wa SADC na viongozi wengine kama wa Zimbabwe Kuwapa matumaini ya muda mfupi serikali ya CCM Mpya awamu ya 6 . Katibu Mtendaji wa SADC ni mtanzania rejea hapa Katibu Mkuu wa SADC :
KUTOKA KUMBUKUMBU ZA INTANETI
Leo Jumatano Februari 5, 2020 Rais wa Tanzania, John Magufuli amefanya mazungumzo Ikulu ya Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (Sadc), Dk Stergomena Tax