Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #61
Basi kama ni hivyo, ulikuwa ni mpango wa Mungu kumuandaa kuwa Rais, tusingemfahamu pengine Leo hiiKususa ni machafuko? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kushiriki ushenzi wa aina hiyo. Anayeharibu chaguzi zetu anafahamika. Hata historia inaonyesha alikuwa hashindi uchaguzi kwa kura bali kwa mbinu chafu, na hiyo tabia yake sasa kaileta kwenye uchaguzi wa nchi nzima kupitia madaraka yake.
Wagome au wasigome kwani Chadema kina nani hadi waogopweNdipo tunapoelekea huko.
Unadhani chadema wakigoma kabisa.
Tanzania itakuwa nchi ya namna gani?
Wagome au wasigome kwani Chadema kina nani hadi waogopwe
Kumbe Lissu ni mtu mkubwa sana nda i na nje ya Tanzania kama anaweza.kushawishi hao mabeberu kiasi hicho.Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Pumba zako hizi hapa mkui[emoji116]
Yani mnaandika upuuzi,uwongo na uzandiki
Ungekuwa karibu yangu ungechezea vibao ya kutosha kwa sababu ni hopeless
/QUOTE]
Mpuuzi mwizi wa mitihani kama Bashite utajua maana ya hopelesi were
Nimekwambia magufuli aliuza nyumba za serikali hill sio kweli? Au bado ulikuwa chato?
Niliandika anaita watengeneza ndege na kufuata sheria za manunuzi na kwamba atakuwa anapata 10% huku were zuzu unashangili?
Nimeandika alinunua kivuko kibovu akiwa waziri sasa kipo jeshini na hakifanyi kazi
Nimekuambia alimshambulia lisu haya kutaka kumua, anzory gwanda, Ben sanane
Haya niambie pumba zipowapi? Jaribu kujibu hoja kwa hoja ufiche ujinga wako
Basi kama ni hivyo, ulikuwa ni mpango wa Mungu kumuandaa kuwa Rais, tusingemfahamu pengine Leo hii
Wagome au wasigome kwani Chadema kina nani hadi waogopwe
Mama yako anavaa pedi za misaada ya Hao mnaowaita mabeberu mbwa wewe .Hao wanafiki tu wanaishia kusema tu.kama wako serious waondoe balozi zao, vinginevyo Ni unafiki
We unatiwa wewe si BureWewe!!!! nikija hapo nakuzibua
Hata basi, Jafo kashatenda hakiHawahitaji kuogopwa wanahitaji kutendewa haki tu kwa mujibu wa sheria simple.
Ukombozi upi? Mwaka 1961 tulishajikomboa.Kumbe Lissu ni mtu mkubwa sana nda i na nje ya Tanzania kama anaweza.kushawishi hao mabeberu kiasi hicho.
lissi kupigwa Risasi ilikuwa mpango wa Mungu kuweka mchoro wa ukombozi wa taifa hili.
acha matusi ya kipuuziMwanaume wa shoka hatishwi na wazibuliwa mitaro
Wewe wasema, mshachelewaSifa pekee ya Magufuli ni uchapa kazi, lakini sio mtu sahihi kwa nafasi ya urais. Nafasi kubwa ya mwisho ya Magufuli ilipaswa kuwa waziri mkuu basi.
Nyumbu acheni propaganda, asilale kisa nyie?UMEWAONA CHADEMA HAO?
wewe ni mdogo sana nchi hii.
hauwezi JUA NGUVU YA CHADEMA.
Ila amini kwamba hata yule wa magogoni siku hizi mbili tatu hajalala kwa raha.
simu yake ilikuwa bize.
Wenye Tanzania yao WALIKUWA WANAMSUMBUA.
RELAXView attachment 1259611
Wewe! Shika adabu. Nyumbu wewe!!We unatiwa wewe si Bure
Dawa msetoNimecheka sana kuona india na waarabu kwenye listi.