Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Kususa ni machafuko? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kushiriki ushenzi wa aina hiyo. Anayeharibu chaguzi zetu anafahamika. Hata historia inaonyesha alikuwa hashindi uchaguzi kwa kura bali kwa mbinu chafu, na hiyo tabia yake sasa kaileta kwenye uchaguzi wa nchi nzima kupitia madaraka yake.
Basi kama ni hivyo, ulikuwa ni mpango wa Mungu kumuandaa kuwa Rais, tusingemfahamu pengine Leo hii
 
IMG-20191110-WA0082.jpg
 
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.

Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.

Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.

Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Kumbe Lissu ni mtu mkubwa sana nda i na nje ya Tanzania kama anaweza.kushawishi hao mabeberu kiasi hicho.

lissi kupigwa Risasi ilikuwa mpango wa Mungu kuweka mchoro wa ukombozi wa taifa hili.
 
Pumba zako hizi hapa mkui[emoji116]

Yani mnaandika upuuzi,uwongo na uzandiki

Ungekuwa karibu yangu ungechezea vibao ya kutosha kwa sababu ni hopeless
/QUOTE]
Mpuuzi mwizi wa mitihani kama Bashite utajua maana ya hopelesi were
Nimekwambia magufuli aliuza nyumba za serikali hill sio kweli? Au bado ulikuwa chato?
Niliandika anaita watengeneza ndege na kufuata sheria za manunuzi na kwamba atakuwa anapata 10% huku were zuzu unashangili?
Nimeandika alinunua kivuko kibovu akiwa waziri sasa kipo jeshini na hakifanyi kazi
Nimekuambia alimshambulia lisu haya kutaka kumua, anzory gwanda, Ben sanane
Haya niambie pumba zipowapi? Jaribu kujibu hoja kwa hoja ufiche ujinga wako
 
Basi kama ni hivyo, ulikuwa ni mpango wa Mungu kumuandaa kuwa Rais, tusingemfahamu pengine Leo hii

Sifa pekee ya Magufuli ni uchapa kazi, lakini sio mtu sahihi kwa nafasi ya urais. Nafasi kubwa ya mwisho ya Magufuli ilipaswa kuwa waziri mkuu basi.
 
UMEWAONA CHADEMA HAO?
wewe ni mdogo sana nchi hii.
hauwezi JUA NGUVU YA CHADEMA.
Ila amini kwamba hata yule wa magogoni siku hizi mbili tatu hajalala kwa raha.
simu yake ilikuwa bize.
Wenye Tanzania yao WALIKUWA WANAMSUMBUA.
RELAX
Wagome au wasigome kwani Chadema kina nani hadi waogopwe
tapatalk_1573393795352.jpeg
 
Hao wanafiki tu wanaishia kusema tu.kama wako serious waondoe balozi zao, vinginevyo Ni unafiki
Mama yako anavaa pedi za misaada ya Hao mnaowaita mabeberu mbwa wewe .

I see the next Eritrea
 
Wasenge wa Lumumba mmejaa humu mnaandika uku*a , ku****ee zenu
 
Kumbe Lissu ni mtu mkubwa sana nda i na nje ya Tanzania kama anaweza.kushawishi hao mabeberu kiasi hicho.

lissi kupigwa Risasi ilikuwa mpango wa Mungu kuweka mchoro wa ukombozi wa taifa hili.
Ukombozi upi? Mwaka 1961 tulishajikomboa.
 
Sifa pekee ya Magufuli ni uchapa kazi, lakini sio mtu sahihi kwa nafasi ya urais. Nafasi kubwa ya mwisho ya Magufuli ilipaswa kuwa waziri mkuu basi.
Wewe wasema, mshachelewa
 
Mbona hizo jumuia hatuzioni kwenye maswala kama ya mauaji ya Raia kule Syria, kuuawa kwa Ghadafi, kuuwawa kwa Sadam, au uchaguzi wa marekani, wanatafuta nchi ambazo zimetulia tu na kutaka kuzivuruga. Shame on them. Hypocrites.
 
Back
Top Bottom