Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Mnalazimisha tu kama kawaida yenu.
Dini ya kulazimisha.
Wakristo Ndo Wanalazimisha Kitendo Cha Jesus Kuingia Kwenye Msikiti,Kuwatawaza Wanafunzi Wake Kinaashiria Mfanano Wa Jesus Na Islam.Yesu Hajawahi Kuingia Kanisani Na Hatowahi Kuingia Kanisani Kuna Kitu Ujakichunguza.
 
Kwenyw kurani hakuna Yesu kuna Isa,niletee aya yoyote ya kurwani yenye jina la Yesu/Yasu.

Ni better muendelee kumuuza isa na sio Yesu kristo mana mnaleta chuki na uhasama baina ya wakristo mana Kinachoemdelea kwenu ni kumdogosha kristo Wakati Kristo ndio Mwana wa Mungu aliye Hai naye anaishi.

Muddy alikufa kaoza na sasa yuko jehanam
 
Vivyo hivyo ukristo ulikuwe kabla ya usilamu kuzaliwa na ukristo utadumu milele huku islamu ikipotea duniani.
 
Kama wakristo wasingekua wanaitetea imani yao nadhani leo hii ukristo usingekuwepo.

Ukristo unajisimamia wenyewe,bali uislamu hauwezi saimama weyewe hadi uanze kuleta mada za ulinganifu na ukristo.

Ni upuuzi mtupu,hutokuja kuona kongamano lolote la wakristo likimlingania muddy pedophile mana hauziki na hana jipya..wacha injili isonge mbele.
 

Hivi mamlaka wamewapa kibali cha kufanya tukio hili?
 
Wapi alisema Yesu yeye ni mungu ?

Hili andiko limeandikwa na katika Biblia ? Kwanini mnamzulia uongo mtume wa Allah ?

Yesu hajawahi kuwa Mungu, hawezi kuwa Mungu na hatokuwa Mungu.
Yesu kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai mwokozi wa ulimwengu.

Kama inuma chomoa
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Hujui kitu, hii kwa faida yenu
 
Nionyeshe wapi Kwenye kurani kuna nene Yesu tuma hiyo aya,mmeona issa hauziki sasa mmeamua kutumia Jina la Kristo Yesu,kuumdogosha na kuudharirisha ukristo.

We wont allow it.
 
Kwanini unakuwa mjinga kiasi hiki ?

Issa unajua ni lugha gani kiasili na Yesu ni lugha gani ?

Yesu kaziliwa wapi na Issa kazaliwa wapi ? Mama yake Yesu anaitwa nani na mama yake Issa anaitwa nani ?
Story ya issa ni yamchongo ilikopiwa hovyo na muddy ili kuharibu taswira halisi ya Yesu Kristo,wanacho fanana ni kimoja tu kuzaliwa na bikra maria kwengine kote ni uongo mtupu nahuna ufanano wa Yesu Kristo wa injili na Isa wa kurani.
 

Mudi alikuwa muenezi wa tamaduni za waarabu na mpigania uhuru wao. Huwezi ukamlinganisha na Yesu ambaye anakubalika na wakristo na wasio wakristo.
 
Yaani tuache kueneza injili twende kupambana na wendawazimu
 
Wakristu hawapo hivyo. Yesu anajitetea mwenyewe hana haja ya kutetewa.
 
shetani ana nguvu
 

Unataka kuniambia uislam unamkili Yesu kuwa ni mwokozi ambaye alikuja kuwakomboa wanadamu?
 
Mkristo wa KWELI, anapiga goti kumuomba Mungu kwenye hili
 
Christianity has survived for centuries despite criticism, persecution, and challenges. Its strength comes from its divine foundation, the deep faith of its followers, and the life-changing message of the gospel. No debate, no matter how provocative, can destroy a faith that has lasted over 2,000 years.

Participating in such discussions can be a chance for Christians to share their beliefs and show how true and important they are. Jesus himself joined in debates and discussions with those who disagreed with him, using wisdom and love to teach deep truths. In the same way, Christians today are encouraged to "always be ready to explain the hope you have" (1 Peter 3:15).

Avoiding debates out of fear might suggest that Christianity is weak or lacks answers. But joining respectful and well-prepared discussions can make believers stronger, clear up wrong ideas about Christianity, and show the love and truth of Christ.

Instead of opposing the debate, Christian groups should encourage respectful participation. These discussions are not threats but opportunities to share the gospel confidently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…