Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Nimelipokea Ahsante kwa busara zako kwa mie mdogo wako mkuu 🙌🙌🙌
 
Huyo sheikh ni ibilisi tu.
Ila Wakristo tuche ujinga tusome na sisi tuwashe moto.
Mpumbavu anajibiwa kwa upumbavu. Hawa masheikh mawakala wa ibilisi si wakumwachia Mungu ni WA kwenda nao sambamba
 
Tuache unafiki.
Kwanza wakristo tulikubaliana kuwa Mungu wetu anajipigania hapiganiwi.
Pili kama tungekuwa serious tungeanza na manabii fake wa hapa hapa wanatumia jina la yesu kufanya maigizo na kuiba sadaka za masikini.
Kama huyo jamaa akiona kutumia jina la Yesu imekuqa big deal abadilishe waseme Issa tu na mjadala uendelee
 
Huo mdaharo sijuu mduharo ni kupoteza mda tuu huyoo mtume na Jesus hatusaidii chochote kilee
 
Asante kwa uchambuzi murua kabisa.
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Ebu acha uongo kupitia hata humu JF nyuzi nyingi za dini ni wakristo kuwasema waislamu, nafikiri ni vyema ukatulia dawa ifanye kazi
 
Rais anapokuwa mkristo huwezi ukasikia upuuzi kama huu,upuuzi kama huu unakuwepo wanapokuwa wao marais.
Ndio wala huwezi kuona waraka wa maaskofu na kutoka mishipa mitandaoni, utasikia utulivu tu akiwa Rais mkristo
 
Ndio wala huwezi kuona waraka wa maaskofu na kutoka mishipa mitandaoni, utasikia utulivu tu akiwa Rais mkristo
Sio kweli
Raisi Magufuri alipigwa na Nyaraka kama zote na Balaza la Maaskofu.
 
Sio kweli
Raisi Magufuri alipigwa na Nyaraka kama zote na Balaza la Maaskofu.
Nyaraka gani wote waliufyata, JK alitolewa nyaraka mpaka za kukataliwa kwenye uchaguzi , nani asie jua tabia zenu akiwa Rais muislamu, mna nongwa sana nyie
 

Hakuna Mkristo mwenye akili timamu na anae ujua Ukristo akautetea, sababu ni matumizi mabaya ya akili.

Ukisoma andiko la Luka, ambaye hakuwahi kumdiriki Yesu, wala hakuna ushahidi wowote juu ya Luka kuyahakiki maandiko hayo, anasema yauatayo :

1. Kwa kuwa watu wengi wameweza kuandika kwa utaratibu habari za mambo yaliyotimizwa katikati yetu,
2. kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
3. nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
4. upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa. (Luka : 1-4)

Maandiko haya, au utangulizi huu, uliwapasa muwe makini sana na Biblia yenu sababu ukweli wa maandko ni mdogo sana au hakuna.

Je, yupo ambaye ameyahakiki maneno hayo ?

Uislamu umekuja kuzitetea Injili, Taurati, na Zaburi kutokana na uchafu ambao upo kwenye Biblia, sababu vitabu hivyo ni vya Allah.

Sasa kijana, asonacho atatoa nini ? Ukristo hauna cha kuikosoa Qur'an na Uislamu, vipi ujadili kitu ambacho hauna na hukiwezi ?
 
Yesu kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai mwokozi wa ulimwengu.

Kama inuma chomoa

Hii ni Falsafa, ambayo imeletwa na kuingizwa baadae sana, ndio maana hukuti katika wale wanafunzi 12 wa Yesu wakisema ya kuwa Yesu ni mwana wa Mungu au ni Mungu.

Kingine, kilichowaharibia nyinyi ni kitendo cha Biblia kutafsiriwa kwa lugha nyingi sana huku mkiwa hamna matini za asili za Taurati, Zaburi wala Injili.

Leo hii, nikikuuliza unajuaje kama yaliyo andikwa kwenye Biblia ni ya kweli ? Hali ya kuwa huna matini ya asili ya Injili, huna Taurati wala huna Zaburi ? Hili ushawahi kujiuliza ?
 
Story ya issa ni yamchongo ilikopiwa hovyo na muddy ili kuharibu taswira halisi ya Yesu Kristo,wanacho fanana ni kimoja tu kuzaliwa na bikra maria kwengine kote ni uongo mtupu nahuna ufanano wa Yesu Kristo wa injili na Isa wa kurani.

Hili unatakiwa ulete ushahidi wa kihistoria, utambie Yesu alizaliwaje na kwao wapi ? Mama yake ni nani ?

Sasa kama ungekuwa na akili timamu, usingepinga hilo, sababu huyo Maria hakuwa na mtoto mwingine zaidi ya Yesu aliyemzaa katika mazingira, swali wapi Yesu alizaliwa ?

Sasa msilazimishe utofauti ambao haupo.

Yesu alihubiri nini ? Issa naye alihubiri nini ? Bila shaka ni Injili, je Injili ya asili ilihubiriwa na watu tofauti ?
 
Nyaraka gani wote waliufyata, JK alitolewa nyaraka mpaka za kukataliwa kwenye uchaguzi , nani asie jua tabia zenu akiwa Rais muislamu, mna nongwa sana nyie
Tafuta kwenye mtandao Nyaraka za TEC utauona na una tarehe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…