Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Kwahy Waislamu mnaenda kufundishana vitu ambavyo mnavijua tayari?
 
Yesu ni Mungu hiyo ni kwa imani yenu, kwetu sisi waislamu Yesu ninmiongoni mwa manabii, na katika mdahalo huo kinachoenda kuongelewa ni mafundisho ya Yesu na Muhammad kulingana na Qurani, kwani hapo nyie shida mnaona wapi???
Kwenye Quran hakuna Yesu Kuna issa ni watu wawili tofauti kabisa ,wenye historia tofauti
 
hiyo ni mtizamo wa kikristo, na katika imani nyingine wanamtizamo tofauti. So ni kusikiliza na mwisho kunakukubaliana au kukatiliana.

Maana kila mtu anahoja zake kwa kitabu chake
Kitabu Chao hakimtambui Yesu kinamtambua Issa, ila wanalazimisha Issa ndio Yesu ili kupotosha

Ndio maana hapo hawajaandika

Issa vs Muhammad,wameandika Jesus vs Muhammad,

Wangeandika Issa vs Muhammad wala watu wasingeona uchochez
 
Bwana Yesu ana nguvu za kujisemea mwenyewe.

Hata kutaja jina Yesu tu inatosha.

Waache watangaze uwezo na nguvu za Bwana Yesu.
 
Kitabu Chao hakimtambui Yesu kinamtambua Issa, ila wanalazimisha Issa ndio Yesu ili kupotosha

Ndio maana hapo hawajaandika

Issa vs Muhammad,wameandika Jesus vs Muhammad,

Wangeandika Issa vs Muhammad wala watu wasingeona uchochez
Its a matter of language mkuu, kama wewe ni mdau wa hizi mbaga utaelewa kua its a matter of language
 
Tulieni dawa ziwaingie mdahalo hakuna kusitishwa
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Nani kakudanganya uislam umekamilika ilo liko wazi
 
Woga wa nini sasa? mnajiita wasomi halafu mnaogopa midahalo kwani anatukanwa mtu?tusikilize then tuchambue,dini yako ikiwa ni ya kweli na huna wasiwasi nayo hupaswi kuogopa midahalo.
Issue ni kuwa mdahalo wa upande mmoja japo binafsi sijui hii hofu ya wana JF imetokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…