Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Mimi nipo barabarani hapa. Huwezi kukaa hapa barabarani dk.10 malori mawili yaliyobeba makaa ya mawe hayajapita.
Hiyo ndo mikakati na mikataba ya zama za ujima ya kina Chifu Magungu. Tundu Lissu ndo ametufungua macho na imem-cost.
Hii nchi inatafunwa na Mchwa na Machawa wa CCM. Kama hawa jamaa wanafanya huu wizi wa Raslimali zetu mchana kweupe basi wanatuona Watz hatuna akili. Yaleyale ya Mchanga wa Makinikia.
 
Huyo DJ Mbowe si alipeleka issue Mahakama ya Kodi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa alikuwa anadaiwa kodi. Katika maridhiano ndio mama akaamua kumsamehe pia na wafanyabiashara wengine lakini haiondoi kuwa walikuwa wanadaiwa kodi.

Huyu ndugu yako kama ilichukua miaka miwili bila kulipwa mafao yake lazima kunatatizo kwenye kumbukumbu za utumishi wake.

Sheria ya mafao iko wazi kabisa within 6 months lazima mtumishi awe amelipwa mafao yake lasivyo analipwa pamoja fine kasome sheria ya mafao ipo kwenye website ya PSSSF.
 

View: https://youtu.be/GhblZyBuiJA?si=gNJwo2mL-E_dIdzx
 
Zile safari za Lissu na Heche ughaibuni ndio madhara yake haya nini?
 
60 yrs za uhuru still wana ng'ang'ania tu. Na hawana maajabu. Hawajui kubuni vyanzo vya mapato na hawajui kuzitumia rasilimali zetu kwa usahihi. Badala yake wanazitumia hovyo
 
Madhara ya kuekewa vikwazo ni madogo kuliko madhara ya kuekewa vi- puppet by western countries then be controlled by them.
siitaki ccm lakini mtu akija na idea ya kutegemea mataifa ya magharibi yatutatulie matatizo yetu nahisi kama anatutakia matatizo kuliko tulionayo, kwa sababu hawajawahi kuisidia nchi yoyote duniani ila kuiingiza kweye matatizo halafu wakanufaika wao.
 
Pia watazuia ndege na kuchukua pesa za wanaccm zote walizoficha kwenye Account za nje
 
Ivi kwa nini AMOS MAKALA hakukamatwa kwa uchochezi? kauli aliyoitoa kuwa CDM wanataka kueneza ugonjwa wa mpox na pasipo ushahidi mbona mpaka leo yupo uraiani. why tundu lisu, acha tupigwe pin tujipange.
 
Huko ccm Akili ni kuteka kuwaonea kuwabambikia kesi chadema
 
Ivi kwa nini AMOS MAKALA hakukamatwa kwa uchochezi? kauli aliyoitoa kuwa CDM wanataka kueneza ugonjwa wa mpox na pasipo ushahidi mbona mpaka leo yupo uraiani. why tundu lisu, acha tupigwe pin tujipange.
Amos Makala IQ yake ni ndogo sana na ni mojawapo ya washauri vitu vya hovyo huko ccm , mda huu alipaswa awe jela kwa kesi ya uhaini, lakini polisiccm na mahakamaccm hawajathubutu kumgusa
 
Wewe ndiyo muongo mkubwa huna lolote acha mletewe Vikwazo pesa zote mlizoiba na kuficha nje zitamezwa, ndege zitazuiwa ujinga wetu vitendeo vyenu haramu vya kutumia Polisiccm mahakamaccm kuwaonea kuwabambikia kesi chadema vitawagharimu , hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi akina Magu, Bokasa, idd Amin Dada, Mabutu, omary bongo, Robert, Elbashiri wa Sudan na wenzao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…