Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Tutatumi pesa za Nndani.

Ccm lumumba
 
Alafu utayasikia machwa yakiimba mapambio ,nchi ipo na watu wajinga sana hasa machawa
Think about that!! Mtu anayejiita CHAWA unaweza kudhani ana akili timamu kweli? CHAWA ni mdudu mchafu anayeishi kwa mtu asiyeoga, asiyefua na vichaa wanaolala majalalani ili ANYONYE DAMU...!!! Tunaambiwa ni CHAWA WA MAMA!!! Kwa maana hiyo CCM ni Chawa, ni wadudu, ni wanyonya damu ni wachafu ni watu wa majalalani. Shame on them CCM!!!
 
Pesa inayotumika ccm kuudhofisha chadema ni pesa nyingi sana ni pesa ambayo ingeweza kujenga Hospital kubwa za Rufaa kila mkoa na kuwajiri madaktari bingwa , kikundi cha wezi huko ccm huwatumia Polisiccm mahakamani kuwatesa chadema ili wapate kisingizio cha kula pesa wakijidai wataiteketeza chadema
 
Ooh then kuna Matumaini
 
😅😅
 
Haizekani majina ya hawa wanaotusumbua tukawashtaki mahakama ya kimataifa.

Washtakiwe wao kama wao
 
Chawaccm wanachochea uonevu kwa chadema ili wapate kisingizio cha kula pesa za ccm ni mradi haramu wa kishetani
Haizekani majina ya hawa wanaotusumbua tukawashtaki mahakama ya kimataifa.

Washtakiwe wao kama wao
utekaji, Polisiccm kupiga mabomu Raia kuwabambikia kesi haramu za uhaini inatosha kabsa kuwashitaki ccm kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa kule The Hague Nchini Uholanzi
 
Ndoto.ya mchana.
 
Acheni kulia lia.Mwenzenu mumrmdanganya kaingia choo kisichoingilika
 
Wananchi ndio tutakaoathirika zaidi na hivyo vikwazo, kwahiyo sio jambo la kufarahia
 
Sasa subiri huo mwisho, acha kubwabwaja mkuu!
 
Itakuwa jambo zuri sana.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Wananchi ndio tutakaoathirika zaidi na hivyo vikwazo, kwahiyo sio jambo la kufarahia
Ndio itatufanya tuachane na KIDJMJ CHAMA CHA MAPINDUZI na zile kauli za KISHETANI za SA100 MITANO TENA.
 
Na kipindi hiki h uchaguzi ikitokea hivyo walipa kodi watakamuliwa mpaka waseme poo maana hela ya msaada ndo ilitegemewa kupigia kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…