Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Kuna watu wamezoea misaada mpaka wanaona ni haki yao
Nimeishaona ombaomba wakipita sehemu kila wiki wakijua ni haki yao kuzunguka na kuomba

Kama ni kawaida kwa watu na serikali pia ni watu hao hao ila wanaomba pato kubwa

Botswana iko juu kwa nchi ambazo hazijawahi kuiomba wala kuchukua hela IMF na wapo juu zaidi

Njaa zetu zinatufanya eti tishio ni kutopewa misaada daa
Na mnaamini kabisa mzungu anahangaika na nyie
 
Yaguju.
Dua la kuku..........
 
Unachokifanya unajitekenya na kucheka mwenyewe. Acha kuota, sio rahisi kama unavyofikiria. Unachokifanya hapa unajifurahisha na kujipa moyo.

Hizi propaganda ndio zinawafariji. Tulia kwanza dawa ichemke

Hivi ni nani alieizuia chadema kushiriki uchaguzi?
 
Reactions: Tui
Endelea kujifariji na propaganda zenu
 
Reactions: Tui
Amos Makala IQ yake ni ndogo sana na ni mojawapo ya washauri vitu vya hovyo huko ccm , mda huu alipaswa awe jela kwa kesi ya uhaini, lakini polisiccm na mahakamaccm hawajathubutu kumgusa
Yule jamaa anajiita CPA kumbe ni uchwara na uchawa tupu! Pambaf sana!
 
Ngonjera zilikuwa tutakinukisha sasa zimebadilika na kuwa Tanzania itawekewa vikwazo.Makamanda tumewazoea keyboard warriors. Chama cha mitandaoni.
 
Ona ulivyo beba kichwa kama mzigo makonda alipigwa ban kwa sababu ya kuwasumbua mashoga kama ww kwa taarifa yako
Hakuna kwenye barua ya Mike Pompeo palipoandikwa makonda kawa black listed kwa kusumbua mashoga by the way nitajie mashoga wa3 waliosumbuliwa na makonda?
 
Kwahy makonda kuwekewa vikwazo ndo sawa na nchi kuwekewa vikwazo?
Magnistky act hii style inaitwa wana deal na maafisa mmoja mmoja walioleta madhara badala ya nchi nzima.
Vikwazo huwa haiwekwi nchi nzima mkuu kuna priority issues kwani Iran na north Korea hawaendi UN?
 
Povu lote hilo sasa mna kipi cha kuwapa hao wazungu? Maana na wao wanacheza vizuri na ccm ili wasikose wanachokipata ila upande wa pili watawapa nini? Hawafanyi kazi bure hao kisa tu wanawapenda au zile zuga za haki za binadamu..............mkono mtupu haulambwi
 
Magnistky act hii style inaitwa wana deal na maafisa mmoja mmoja walioleta madhara badala ya nchi nzima.
Vikwazo huwa haiwekwi nchi nzima mkuu kuna priority issues kwani Iran na north Korea hawaendi UN?
Hii ishu ya makonda nya lini na leo n mwaka gn
 
Anyway!
 
Hao International communities unawajua unawadikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…