Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.
Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.
Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.
Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.
Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.
Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.
Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.
G