Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

mie kama mtz mzalendo naunga mkono kabisa jumuia ya madola kuingilia uchaguzi fake uliofanyika majuzi...karibuni sana tz ikiwezekana muondoke na jiwe hata kama kizungu hajui!.
Endelea kuota
 
Unaonaje ukianza kwa kumshauri Jiwe aheshimu matakwa ya Watanzania!

Unaonaje ukianza kumshauri Jiwe aache uoga kiasi cha kufikia kubana bandwidth na social media!!!
Anayaheshimu sana na ndio sababu amekubali tulivyompa Imani yetu kwa Mara ya pill sasa
 
Nimesema umeandika pumba tupu kwakuwa umetaja Tanzania badala ya kusema CCM ndio wamepanga kumpa kura zote
Vitambulisho vya kura havijaandikwa jina LA Chama chochote Bali jina LA Mpiga Kura Mwananchi ambaye ni RAIA wa Tanzania. Na ndio tulioipa dhamana CCM tukawakataa wengine
 
Umenena vyema..Watanzania tayari wameshaamua mengine tukutane 2025.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Hiyo kauli unaitoa peke yako hata Pole Pole hawezi kusema hivyo.
 
Anayaheshimu sana na ndio sababu amekubali tulivyompa Imani yetu kwa Mara ya pill sasa
Sasa kama mamilioni yote yale wamekubali, how come anawaogopa just a small community waliopo kwenye social media?! Endeleeni kutetea upumbavu lakini uzuri ni kwamba, wapiga makofi wengi ndo wale wale wasio na mbele wala nyuma!!! Wengine waliivyo mazuzu, wanashangiolia kinafiki huku mioyoni wakiumia athari wanazopata!!
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Why generalization??!! Uhitaji akili kuelewa kuwa kulikuwa kuna serious irregularities. Natamani tupigwe spana sana
 
Tungekua mahakamani ningesdhibitsha pasipo shaka

Kuweka udhibitsho wangu hapa kwa pumbavu nisiemjua ni kupoteza muda na nguvu!

Twende mahakamani na I will prove everything....
Punguza pressure basi. Karibu tufurahie Ushindi, tuwashauri wapi mmeangukia km vile kufanya Mnada wa vyama vyenu kwa watu mnaodhani sana hela nk
 
Sasa kama mamilioni yote yale wamekubali, how come anawaogopa just a small community waliopo kwenye social media?! Endeleeni kutetea upumbavu lakini uzuri ni kwamba, wapiga makofi wengi ndo wale wale wasio na mbele wala nyuma!!! Wengine waliivyo mazuzu, wanashangiolia kinafiki huku mioyoni wakiumia athari wanazopata!!
Unazungumzia mlivyokuwa mnajazana kwenye mikutano na humu mitandaoni mkaacha kwenda kupiga kura?
 
Back
Top Bottom