Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Hakika watanzania wamefanya maamuzi yao.

Yaheshimiwe.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Bange, bange, bangii..

HAKUNA mtanzania mwenye akili aliyechagua utekaji, mauaji, ubambikaji Kodi, ubambikizaji kesi za uongo zisizo na dhamana, ....nk.

Utawala haramu wa ccm unang'ang'ania kukaa madarakani kwa mabavu, bila ridhaa ya wananchi walio wengi, na ndo sabb hawataki uchaguzi huru na haki. Ni mwendo wa wizi tuu
 
Hayakua maamuzi ya waTanzania bali maamuzi ya maruhani flani.....
 
Jumuiya ya madola wanapenda kuongea sana kingereza lugha ya mkoloni mwingereza!!! Wakati watanzania tunaongea sana kiswahili

Wamenuna baada ya kuona muongea kingereza mwenzao Lisu kapigwa chini!!!
 
Nilikuwa nasikia tu kuna wizi wa kura unafanywa na CCM mwaka huu nimeyaona mwenyewe. Kweli kua uyaone.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Maamuzi ya wizi? Kila mmoja atafute wapi atapata haki yake
 
Hayo ni maamuzi ya mtu na sio ya watanzania
 
Sijui miccm INA akili gani. Unadhani kungelikuwa maamuzi ya haki Luna mgombea au watu angelihangaika? Hakuna maamuzi ya watanzania, no uporaji was haki
Kulalamika na kuhangaika sio kihalalisho ya kuonewa, Labda kuficha Aibu

Ninyi watu mnaomkubali Lissu Sijui mnalitakia nini taifa hili
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Maamuzi gani tumefanya sisi wananchi wa Tanzania? Ya kuchapisha kura Jamana Printers chini ya TISS na kuziingiza kwenye masanduku?

Hata mlazimishe vipi MAGUFULI anachukiwa sana na wananchi. Tatizo vyombo vya habari vikiandika ukweli vitafungiwa.
 
Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.
Mkuu umesema mengi lakini rudi nyuma kidogo.
Marehemu Raisi Mkapa kwenye kitabu chake ameongelea kuwa angefurahi kama nchi hii ingekuwa na tume huru ya uchaguzi. Naamini Mkapa unamfahamu, sasa jiulize kwa nini ameandika hivyo.

Pili jana nimemsikia Lipumba akitoa mfano wa mgombea wao ambae amekwenda kwenye kituo cha kupigia kura na wana familia saba na akapiga kura, matokeo yalipotoka amepata kura sifuri,0, zilch.

Mkapa na Lipumba huwezi ukasema ni aina ya Lissu, mmoja ni CCM na mwingine alikuwa na mahusiano mazuri na CCM. Ukisipo heshimu maamuzi ya watanzania usishangae wengine kutonyamazia ujinga unao endelea.
 
Kura ni siri ya mpigaji mwenyewe hivyo Inawezekana familia ya Lipumba walipigia kura Wagombea wa CCM, kwenda na Mkeo/Mume au Mwanao kituoni hakukufanyi upigiwe kura sababu hilo in jukumu la siri analofanya mpigaji kwa hiari yake kuchagua mgombea anayemtaka.

Aliyoandika Mkapa ni kila Nchi Duniani inatamani iwe hivyo na hapa kwetu tayari tuna Tume huru inayofanya vyema.

Yanayoendelea America Leo ndio Yale Yale ya upande unaoshindwa kidai kuibiwa wakati wengi wenu humu mnadai na kuamini Tume zao ni independent
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Kama mlipiga kura yale mabegi ya Mambosasa kura zake zilipigwa na nani?
 
Sawa wataheshimu ila wakikata mrija wa madola ndio tutajua maana ya donor country
Ndilo tatizo la mawazo ya ombaomba. Yaani wewe umekaa hapo kuwapendeza watu ili wakupe misaada. Lini utajitegemea? Hakuna nchi dunianiani imewahi kuendelea kwa kusaidiwa. Nani akufanye ujitegemee ili uondokane na kupewa makombo kwa kubadilishana dhahabu.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Huo nao utauita uchaguzi?!! Oneni aibu!! Sikutegemea kama mbwembwe zote zile za awamu ya tano, mala kila sehemu kwenye tv ni kishindo cha awamu ya tano tu, lakini mwisho wa siku unafanyika uchafuzi kiasi hicho!!!

Kweli kumbe wakati mwingine MITANZANIA ina akili!!! Ilitaka kumuonyesha kuwa hayo majisifu yalikuwa ni ya wapambe wako tu, ndio walikuwa wanakudanganya!! Acha tukuonyeshe!!! Ukitaka hao wasikuingilie fanya hivi, kataa misaada yao kabisa, ya kila hali na mali. Na wakitaka kukufutia madeni yako, kataa sema hutaki, nitayalipa tu, hapo hutawaona tena, wanakusumbua.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Hatuko huru kihivyo. Kuna mikataba ya kijumuia ambayo kama taifa tulisaini na hiyo ndiyo inayotuwajibisha.
 
Ndilo tatizo la mawazo ya ombaomba. Yaani wewe umekaa hapo kuwapendeza watu ili wakupe misaada. Lini utajitegemea? Hakuna nchi dunianiani imewahi kuendelea kwa kusaidiwa. Nani akufanye ujitegemee ili uondokane na kupewa makombo kwa kubadilishana dhahabu.
Kweli wewe ni ZWAZWA!! hivi unafikiria nchi kujitegemea ni jambo dogo?? Acheni kujidanganya, haya miaka mitano hiyo imeisha mliyoambiwa Tz, inaenda kuwa donor County, iko wapi?? Kwa staili hiyo ya mtu mmoja ndio anaamua pesa ya bajeti itumike vipi hata kwa mambo ambayo hayakuwa kwenye bajeti utegemee mtakuja kuendelea?!!!

Hao hao waliotufikisha hapa ndio utegemee watakuondoa hapa? Gesi ya mtwara iko wapi, kina tumbili wakati huo wanapiga kelele kuwa tumepigwa, hao CCM, si walikuwa wanawazomea?!! Leo wana kili kuwa ni kweli hatuna chetu, wana hamia kwenye maporomoko ya rufiji!!! Uniambie nchi itakuja kuendelea?

Dira ya nchi 2015-2025 ilikuwa kufika pato la kati kuanzia dola 3000,,miaka mitano ya mwanzo tumeongeza tsh. 30, kutoka 1060-1090 tu, kelele nyingi, eti tumefika pato la kati kabla ya muda!!! Hiyo 3000,itafikiwa lini??!! Kila kitu mlishagawa bure,
 
Back
Top Bottom