Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Kura ni siri ya mpigaji mwenyewe hivyo Inawezekana familia ya Lipumba walipigia kura Wagombea wa CCM, kwenda na Mkeo/Mume au Mwanao kituoni hakukufanyi upigiwe kura sababu hilo in jukumu la siri analofanya mpigaji kwa hiari yake kuchagua mgombea anayemtaka.
Yaani una amini hata mwenyewe hakujipigia. LoL
Aliyoandika Mkapa ni kila Nchi Duniani inatamani iwe hivyo na hapa kwetu tayari tuna Tume huru inayofanya vyema.
Kwa hiyo Mkapa ana amatatizo-kutamani kitu ambacho tayari unacho, kimantiki haileti maana.
Yanayoendelea America Leo ndio Yale Yale ya upande unaoshindwa kidai kuibiwa wakati wengi wenu humu mnadai na kuamini Tume zao ni independent
USA na URT ni vitu viwili tofauti. Trump ana ahki ya kwenda mahakamani, na amesha fanya hivyo mara kadha. Hapa kwetu akisha tangazwa ngoma imelala FULLSTOP.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Mmeamua au mmeiba Kura. Na hizo Kura je mlizokamatwa nazo kwenye viroba tayari zimeshapigwa kwa ccm? Sisi hatutaki wizi tu mkishi da kihalali sawa. Ila mmeuvuruga mchakato. Mmewakamata mawakala wa upinzani, mmetesa na mmeua ndo Mana watetezi wa kweli wanatutetea.
 
Na hata waliopiga kura za zimeibiwa.
We we hukupiga kura unalalamika tu
Screenshot_20201104-061724.jpg
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G

Hakuna chama cha kishamba kama CHADEMA, nlikua nawaona chama cha maaana sana ila wapuuzi tu hawa jamaa, ivi unamfukuzaje mwanachama kisa corona.
 
Back
Top Bottom