Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Why generalization??!! Uhitaji akili kuelewa kuwa kulikuwa kuna serious irregularities. Natamani tupigwe spana sana
Fake drama za Vibaraka ndio zitupeleke kwenye spana??
 
Pressure?

Furahia dhuluma....thats best for you!

Jambazi wa kura za wananchi hivi unaweza nishauri ni ni ?

Hiyo moral authority wa kushauri innocent people umetoa wapi?

This is beyond comprehension!
Call yourself an innocent ???
 
Kuandamana kwa ajili ya Mbowe na genge lake ni upunguani mkubwa. Aandamane na wanae, pamoja na waliofaidi ruzuku.
 
Jibu nilichokuuliza, kama huna jibu PIGA KIMYA!!
Unachokiita "small community waliopo kwenye social media" Kikiwa ni small engine ya Vibaraka (Puppets) wanaotumiwa na Mabeberu, Wezi nk wanaotaka kuinunua nchi yetu kwa kuharibu amani tuliyonayo. Hao lazima tuwaogope kuliko Ukoma. Na hii ndio sababu sisi Watanzania kwa wing I safari hii tumeichagua CCM kwa kishindo.
 
Jiongelee wewe mwenyewe. Wapenda haki tutaandamana kesho. Wewe tulia, jifungie ndani, tizama TV.
Haki ni kura halali tulizopiga tukaiweka CCM madarakani na sio fake drama za upinzani
 
Kwani kuna jumuiya ngapi za madola? Mimi naijua moja inayooongozwa na Malkia wa Uingereza. Naona wewe unaongelea jumuiya ZA madola! Mbumbumb nini?
Its like Msolopagansi/ganzi and not Omusolopagasi
 
Nyie ndio wa kwanza kusema Tanzania ni nchi huru halafu mnatuwekea hapa picha za Rais wa zamani wa Burundi ili tumwamini anachokisema! Wangese sana nyie. Yaani mnataka tumwamini huyu fara wakati sisi wenyewe tulikuwepo kwenye vituo vya kupigia kura na kuona makura yenu yakiingizwa vituo kwenye vikapu. Mna akili kweli?
Uliripoti Tume?
 
Unachokiita "small community waliopo kwenye social media" Kikiwa ni small engine ya Vibaraka (Puppets) wanaotumiwa na Mabeberu, Wezi nk wanaotaka kuinunua nchi yetu kwa kuharibu amani tuliyonayo. Hao lazima tuwaogope kuliko Ukoma. Na hii ndio sababu sisi Watanzania kwa wing I safari hii tumeichagua CCM kwa kishindo.
Akili za kipumbavu kabisa hizi!

Ni mpumbavu tu ndie anaweza kuamini kwamba itakuja kutokea siku moja kwenye jamii fulani watu WOOOOOTE wakakubaliana kwa kila kitu, na yule atakayepinga basi ni kibaraka!

Walikuwa wanapingwa na hadi kesho wanapingwa Mitume wa Mwenyezi Mungu aje kuwa DIkteta Jiwe!!

Anyway, hoja yako imeonesha ni namana gani ulivyo zuzu na sina muda wa ku-argue na Misukule ya Lumumba!!!
 
Tuacheni tuandamane. Waoga jifungieni ndani. Nchi huwa ina akina Nyerere na Mandela na nyie wengine. hatuwe wote kuwa akina Nyerere na Mandela.
Nakushauri tii sheria bila shuruti. Na Fanya utafiti kama kweli hao wanaowashauri wanaitakia mema Nchi yako na hayo wanayotafuta kifichoni yatasaidia nini Jamii yako ma Taifa lako.
 
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.

Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke.

Democracy ni wananchi kuchangua hatima yao bila kushurutishwa na mataifa ya nje ama vikundi fulani vinavyotumiwa kwa maslahi ya watu wa nje.

Wakati umefika sasa sisi watanzania tusimame na kuuleza ulimwengu kuwa sisi wenyewe ndio tumeamua tukapiga kura na kuchagua raisi,wabunge na madiwani wa ccm baada ya kuridhika na utendaji wao mzuri na wenye mapinduzi makubwa ya maendeleo katika taifa letu.

Hivyo tumeamua kuwapa imani yetu kwa kuwa wao ndio wametupa muelekeo wa taifa letu tunaoutaka.

Kwa hiyo itambulike kuwa sisi.

Wananchi wa tanzania ndio tuliopiga kura na kuamua CCM ikae madarakani na si vinginevyo.

G
Naona Zanika unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe kweli yajayo yanafurahisha.
 
Utajiri wa dawa haudumu.
Ukimwona MO vile anashamiri ujue alirithi utajiri wa haki.
 
We we hukupiga kura unalalamika tu
Kwanini msijaribu kujikosoa wenyewe kwa uhalifu mliofanya? Haya yatawaandamaneni hata nyie.
Mzee kinana, makamba ,january ,nape, membe etc unadhani walipenda kunyanyasika vile?
 
Back
Top Bottom