Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Yaani una amini hata mwenyewe hakujipigia. LoL
Aliyoandika Mkapa ni kila Nchi Duniani inatamani iwe hivyo na hapa kwetu tayari tuna Tume huru inayofanya vyema.
Kwa hiyo Mkapa ana amatatizo-kutamani kitu ambacho tayari unacho, kimantiki haileti maana.
Yanayoendelea America Leo ndio Yale Yale ya upande unaoshindwa kidai kuibiwa wakati wengi wenu humu mnadai na kuamini Tume zao ni independent
USA na URT ni vitu viwili tofauti. Trump ana ahki ya kwenda mahakamani, na amesha fanya hivyo mara kadha. Hapa kwetu akisha tangazwa ngoma imelala FULLSTOP.
 
Mmeamua au mmeiba Kura. Na hizo Kura je mlizokamatwa nazo kwenye viroba tayari zimeshapigwa kwa ccm? Sisi hatutaki wizi tu mkishi da kihalali sawa. Ila mmeuvuruga mchakato. Mmewakamata mawakala wa upinzani, mmetesa na mmeua ndo Mana watetezi wa kweli wanatutetea.
 

Hakuna chama cha kishamba kama CHADEMA, nlikua nawaona chama cha maaana sana ila wapuuzi tu hawa jamaa, ivi unamfukuzaje mwanachama kisa corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…