Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
 
Wanaona aibu baada ya kuingia kwenye maridhiano, huku cdm wakigoma hata kushiriki vikao vya kihuni. Hiyo ni lugha ya kujikosha maana wanajua kwa sasa cdm wanaeleweka vizuri kwa wananchi kuliko wao kutokanana na msimamamo wao wa kugomea maridhiano ya hadaa.
 
Huyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.

Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.

ElkzcqjXYAE5yZ2.jpg
ElkzcMOWoAI33oA.jpg
ElkzbrvXYAYyg0l.jpg
 
Huyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.

Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.

View attachment 3649160View attachment 3649161View attachment 3649162
Huyu jamaa ni chizi ndio maana wanataka kuingia kwenye genge la wahuni ili wapewe wizara.
 
View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Nakeleke nikisikia lafudhi ya kizenchi, sijui kwanini?
 
Katika kosa ambalo cdm hawapaswi kulifanya ni kuungana na ACT kwenye safari ya mabadiliko. Kama kweli wote wanataka mabadiliko, kila mmoja ayatafute kwa mbinu zake, na sio kuungana maana itakuwa tatizo huko mbeleni. Ogopa watu wanaobabaikia vyeo.
 
Chadema imefanya makosa mengi sana hata sasa inafanya hivyo hakuna jipya.
 
Huyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.

Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.

View attachment 3649160View attachment 3649161View attachment 3649162
Hiki kijamaa ni cha ovyo sana
 
Back
Top Bottom